Mtambue adui yako AFCON 2025 MATAIFA 24 ya Afrika yatachuana kuwania ubingwa wa mashindano ya soka Afcon 2025 huko Morocco ambayo yatafanyika kwa mara ya 35.
FIFA yazindua sherehe za ‘digrii 360’ KOMBE la Dunia 2026 linatarajiwa kuwa mashindano makubwa zaidi kuwahi kufanyika katika historia ya soka, lakini kabla hata mpira haujaanza kuchezwa, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limekuja na...
Chelsea, Man City kuwania ubingwa wa Kombe la FA FAINALI ya 145 katika Kombe la FA nchini England, inachezwa leo Jumamosi majira ya saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Wembley ambapo Chelsea itapambana na Manchester City.
Nusu fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya ni ‘fainali kabla ya fainali' BAADA ya vigogo wakubwa wa soka Ulaya kuaga mashindano katika hatua ya roibo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, minong'ono imebaki kwa nne zilizofuzu nusu fainali, nani atatinga fainali?
Matukio maarufu mastaa kuvutwa nywele uwanjani KATIKA soka kuna matukio mengi ambayo huwaacha vinywa wazi mashabiki na hata wachezaji wenyewe, ambayo hufanyika kinyume na sheria au kanuni za mchezo huo, huku yakilazimisha mamlaka husika...
Majeraha yasiyopona hatari kubwa kwa wachezaji wanaotumika sana MWISHONI mwa wiki mbili zilizopita mpaka wiki hii, ligi mbalimbali duniani zilisimama ili kuwaruhusu wachezaji kushiriki mechi za kirafiki za kimataifa za FIFA.
Maswali magumu ratiba Ligi Kuu Bara BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa ratiba mpya ya kumalizia msimu wa 2025/26 na mechi za mwisho za mzunguko wa 30 ambazo ni za kufunga msimu, zitapigwa Juni 30,2026.