Simba yatibua kibarua cha Ibenge, achanganyikiwa KOCHA wa AS Vita ameng’aka mbele ya waandishi wa habari na kutamka kwamba: “Mwambie basi Rais anifukuze.” Ibenge ametoa kauli hiyo ikiwa ni hasira ya kuulizwa kila mara hatma yake na timu yake...
Yanga waitangulia Simba Airport KIKOSI cha Yanga kimetua jijini Dar es Salaam asubuhi ya leo Februari 14 kutokea jijini Mbeya baada ya kumaliza mchezo wao wa jana dhidi ya Mbeya City na kutoka sare ya bao 1-1. Yanga wamerudi...
Waziri Mkuu aifagilia Simba bungeni WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Simba SC kwa kupata ushindi wa kwanza ugenini kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita jana usiku Kinshasa, DR...
Muller akutwa na corona, kuikosa fainali Qatar leo Mshambuliaji wa Bayern Munich, Thomas Muller anatarajiwa kuikosa mechi ya fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia jijini Doha leo baada ya kukutwa na virusi vya corona, kwa mujibu wa vyombo vya habari...
Saido: Tulieni tupige kaziiiii! STAA mpya wa Yanga, Saido Ntibazonkiza amewaambia mashabiki wa timu hiyo kwamba wala hawapaswi kupaniki na maneno ya mitandaoni kwani wao wachezaji wanajua nini cha kufanya.
Kocha Gomez, Morrison watuma barua Congo Mchezo kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Wabunge wafunika jukwaa kuu Wakati mchezo wa Dodoma Jiji na Simba ukiendelea katika uwanja wa Jamhuri, wabunge wamekuwa sehemu kubwa ya watu waliofika hapo uwanjani.
ISHU YA SARPONG IPO HIVI... ya Azam hadi sasa, amekuwa akifanya vizuri na amefunga mabao manne katika mechi kama sita au saba hivi zilizopita jambo linaloisaidia timu.Sasa kuna wakati pia upande wa makocha tunapaswa...
Gomes: Naanza na Dodoma Jiji KOCHA wa Dodoma Jiji, Mbwana Makata ameongeza dozi akijiandaa kupambana na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopangwa kufanyika kesho Uwanja wa Jamhuri, Dodoma lakini mwenzie, Didier Gomes...
Kambi Yanga Dar kiboko Yanga ina kila sababu ya kutikisa katika Ligi Kuu Tanzania Bara lakini pia hata upande wa Ligi Kuu ya Wanawake ambako kote inaongoza misimamo ya ligi hizo.