Kakolanya kusalia Simba VINARA wa Ligi Kuu Bara, Simba wanaendelea kuimarisha kikosi chao kwa kuwaongeza mikataba wachezaji ambao mwisho wa msimu huu unamalizika. Mmoja wa watu waliokuwa katika benchi la Simba...
Esma: Sitaki tena ndoa MJASIRIAMALI na dada wa msanii wa Bongo Fleva nchini, Nasib Abdul ‘Diamond’, Esma Khan, amesema hana mpango wa kufunga ndoa tena kwa sababu aliyoyapitia ni mengi, hivyo anahitaji kuwa peke yake...
Manji arejea na shangwe Yanga Manji akiwa madarakani Yanga walitwaa ubingwa wa Ligi Kuu mara tatu mfululizo kuanzia 2014-15 hadi 2016-17.
Wadau wapishana kumuunga au kutomuunga mkono Diamond, tuzo za BET Pamoja na wasanii kumuunga mkono msanii mwenzao Diamond Platnumz katika kile kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kumpigia kura katika tuzo za BET alizochaguliwa kushiriki, baadhi ya...
Azam yamsaka kiungo wa Power Dynamos MATAJIRI wa Ligi Kuu Bara, Azam FC wanaendeleza kuimarisha kikosi chao kwa kuwaongezea mikataba baadhi ya wachezaji muhimu ambao inamalizika pamoja na kuingia sokoni kuangalia wale wapya ambao...
Mamadou Sakho kuendeleza soka Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza hatua ya chezaji wa timu ya mpira wa miguu wa Klabu ya Crystal Palace inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza...
Muziki ulisababisha wapoteze asili za majina yao Imekuwa ni kawaida kwa kampuni, taasisi na mashirika makubwa duniani kote kubadili majina kutokana na sababu za kibiashara, kubadilishwa kwa lengo la uanzishwaji wake au kuuzwa kwa mmiliki mwingine.
Albamu ya Dogo Janja kuchochea usawa wa 50/50 kuelekea 2030 Msanii wa Bongofleva, Dogo Janja ameachia albamu yake ya pili iitwayo ‘Asante Mama’ ambayo ni sawa na mpango wa kuelekea kufikia usawa wa kijinsia wa asilimia 50 kwa 50 katika nyanja zote ifikapo...
AUSSEMS: RUPIA, TUPIA MABAO BANA LICHA ya Elvis Rupia kuwapaisha AFC Leopards hadi nafasi ya pili kwenye ligi, kocha Patrick Aussems bado hajaridhishwa na ufungaji wa straika huyo. Kwenye mechi hiyo ya kiporo iliyosakatawa...
FIFA YAIHANDA INGWE KISA MADENI KIBAO AFC Leopards imeshikwa pabaya tena na FIFA manzee. Unamkumbuka yule kocha wao mzungu Marko Vasilvejic waliyemtimua Februario, 2019? Ndiye sasa kawaingiza Ingwe kwenye ngori mbaya na FIFA...