AUSSEMS: Akiuchezea ule mziki wa Jangwani, inakula kwake mapema tu Simba SIMBA imeanza maisha mapya ikiwa na Kocha Mkuu Mpya, Patrick Aussems kutoka Ubelgiji. Kocha Aussems ndio kwanza anaingia wiki ya tatu tangu asaini mkataba wa mwaka mmoja wa kukinoa kikosi hicho...
Azam FC ni timu ya mchongo tu AZAM FC. Timu iliyotabiriwa kuwa mkombozi wa soka la Tanzania. Timu ya Familia ya Bilionea, Salim Said Bakhersa. Timu iliyopewa nafasi ya kuzipa changamoto Simba na Yanga. Nini kimetokea?
Matatizo makubwa ya Simba yafichuka SIMBA inahitaji kushinda mechi zake zote nane zilizosalia kwenye mzunguko wa pili kufikisha pointi 55 lakini ikiombea angalau Yanga.....
Wanyama anafuata ratiba ya umri wa soka, sisi je? HATI ya kusafiria ya Victor Mugubi Wanyama inaonyesha alizaliwa Juni 25, 1991 jijini Nairobi. Siku kama ya juzi miaka 25 iliyopita. juzi hiyo hiyo ilikuwa siku yake ya pili kamili tangu awe...
Simba imsikilize Keisha MWIMBAJI mwenye kipaji kikubwa nchini, Keisha aliwahi kuimba juu ya uvumilivu. Aliimba katika moja ya nyimbo zake na kuonyesha kwa nini kila binadamu ana haja ya kuwa na uvumilivu.
Hata hii Taifa Stars nayo imeteuliwa pub UNAWEZA kuchora picha kichwani, mlevi mmoja akiropoka katika baa moja ya katikati ya jiji akisema: “Mkate Sure Boy, ingiza Hassan Mwasapili, ondoa Simon Msuva, ingiza Mcha Khamis. Huyu Mcha...
Mpira wa Simba na Yanga na uungwana wa fedha-2 Yanga na Simba ni klabu ngumu kuzielewa au kusoma mfumo wake wa kifedha na utawala na sababu kubwa na huenda ndiyo sababu inayozifanya klabu hizi zenye miaka zaidi ya 75 kutokusonga mbele ni...
Ratiba ya ligi ikiwa ileile, soka linaenda kuzimu SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) kupitia kwa msemaji wake Boniface Wambura limesema ratiba ya ligi itatoka mwezi mmoja kabla ya Agosti 20, mwaka huu.
Maisha ya Sinza maji marefu kwa Atupele UNAMJUA straika wa Ndanda FC, Atupele Green? Basi jamaa kweli ameamua na ana hasira juu ya maisha yake.
Sakata la Tambwe, TFF ijipange kukomesha uhuni huu LUIS Suarez alipokuwa Liverpool alinaswa na kamera akitoa maneno ya kibaguzi dhidi ya beki wa zamani wa Manchester United, Patrice Evra.