TFF, RT yawapongeza viongozi wapya Taswa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na lile la Riadha (RT), vimeupongeza uongozi mpya wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), na kuwatakia kila la heri katika...
Simba yafyeka wachezaji 20 la Friends of Simba ndiyo lilikuwa limeanza na walikuwa wanaitaka timu kwa madai kuwa haiwezi kufanya vizuri kama haitakuwa mikononi mwao. “Tukiwa kambini tumekaa alikuja nahodha wetu wa...
TUONGEE KISHKAJI: Amber Lulu, Lamata wanafeli hapa ngoma na majina yenu. Nachoka stori za Instagram, naingia Youtube kusikilikiza intavyuu, nachagua kusikiliza intavyuu ya Leah Mwendamseke a.k.a Lamata, muongoza filamu mkubwa zaidi Tanzania kwa...
Nabi ateta na mastaa Yanga, aitaja Simba washinde mechi zao, lakini nasi tunatakiwa kuendelea kucheza kwa ubora wetu huku tukipata matokeo bora tunayoyataka yatakayotusaidia mwishoni mwa msimu mbele ya wapinzani wetu.” Nabi...
Simba yamlipa Matola laki tu - 2 JANA tuliona jinsi ambavyo Matola alianza maisha yake ya soka kwao Kigoma akiwa kwenye timu ya mtaani,Tukaona jinsi alivyoondoka na kujiunga na Kagera Stars, leo tunaangalia namna alivyopewa...
Taswa yapata uongozi mpya, Mwandishi Mwananchi ashinda kwa kishindo Amir Mhando amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) uchaguzi mkuu uliofanyika leo Februari 5, kwenye uwanja wa Mkapa Dar es Salaam. Amir...
Gael, Yanga ngoma mbichi KIUNGO Mrundi Gael Bigirmana ameikalia kooni Yanga akitaka impe barua ya kuondoka na kumlipa mamilioni ya pesa baada ya kile alichodai kukiukwa kwa vipengele vya mkataba. Sakata la mchezaji huyo...
CAF yaifuata Simba Dar BAADA ya tetesi za muda mrefu, Simba imepiga bao la kisigino kwa kuteuliwa kuwa timu pekee ya Tanzania itakayoshiriki michuano mipya ya Afrika Super League itkayoanza Agosti mwaka huu, sasa...
Matola atumiwa nauli aingia mitini -1 juu sana. “Wiki moja mbele ligi ilikuwa inatakiwa kuanza na mechi yetu ya kwanza dhidi ya Simba, nilikuwa nawania namba mbili na beki mmoja alikuwa anaitwa Mkamwa jina la kwanza nimesahau, basi...
NIONAVYO: Ni kweli wachezaji wetu wanapiga misosi sahihi? ikiwemo kupigwa misumari (kurogwa) kama chimbuko la kutofanya vema kwa wanamichezo wetu. Kadri michezo inavyozidi kuendeshwa kitaalam zaidi,utendaji wa mwili wa mwanamichezo unaangaliwa...