Mac Allister aikataa Madrid, kuna jambo linaendelea KIUNGO wa Liverpool na timu ya taifa ya Argentina, Alexis Mac Allister, 27, ana mpango wa kufanya mazungumzo na majogoo kuhusu mkataba mpya ifikapo mwisho wa msimu huu licha ya kuhusishwa na...
Scholes ajielezea kwa Carrick kuhusu posti yake Insta GWIJI wa Manchester United, Paul Scholes, amefunguka kuhusu ujumbe aliomtumia Michael Carrick baada ya chapisho lake la Instagram kuzua mjadala mkubwa wiki iliyopita.
Dube, Diarra mzigoni leo AFCON 2025 RAUNDI ya pili ya mechi za makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 inaendelea leo Ijumaa kwa mechi nne zinazojumuisha timu za Kundi A na B ambazo zina baadhi ya wachezaji...
Barcelona yajitoa kwa Marc Guehi, Liverpool freshi BARCELONA ilifanya mazungumzo na wakala wa beki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi, 25, ili kumsajili dirisha lijalo la majira ya kiangazi lakini kwa sasa imesitisha mpango...
Napoli bado inamtaka Mainoo, Man United yamzuia ikitaja sababu KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim anadaiwa kuzuia mpango wa kuondoka kwa kiungo wao, Kobbie Mainoo dirisha lijalo la majira ya baridi licha ya kuhusishwa kuondoka.
Wasaudia waanza kumnyemelea Lewandowski MSHAMBULIAJI wa Barcelona na timu ya taifa ya Poland, Robert Lewandowski, 37, anaweza kushawishika kuhamia Ligi ya Saudi Arabia ikiwa Barca itaendelea kushikilia msimamo wa kuachana naye mwisho...
Kocha Roma abonga na Zirkzee, Man Utd mh! STRAIKA wa Manchester United, Joshua Zirkzee, 24, amehakikishiwa kuwa atapewa nafasi kubwa ya kucheza katika kikosi cha kwanza cha AS Roma ikiwa atakubali kujiunga nao katika dirisha la majira ya...
Liverpool yaamua kujisubirisha kwa Marc Guehi LIVERPOOL imeamua kusubiri hadi wakati wa dirisha la usajili la majira ya kiangazi mwakani kabla ya kuanza tena mazungumzo ya kumsajili beki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc...