Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9048 results for Mwandishi :

  1. Barca yaziibukia Liverpool, Madrid dili la Marc Guehi

    BARCELONA ipo tayari kuingia kwenye vita dhidi ya Liverpool na Real Madrid kwa ajili ya kuipata saini ya beki kisiki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi, 25, katika dirisha...

  2. Real Madrid ilitunga sheria ya Mbappe, Dar itunge ya Fei

    FEISAL Salum ‘Fei Toto’ amesaini mkataba wa kuendelea kuitumikia Azam FC hadi 2027. Awali mkataba wake ulitakiwa kumalizika 2026. Katika mkataba mpya, mshahara wake wa mwaka utakuwa Sh960 milioni...

    FEI Pict
  3. TEAM MONEY: Kikosi cha Kwanza cha wanaolipwa mshahara mkubwa 2025-26

    MIAMBA ya soka ya Hispania, Real Madrid inatawala soka la Ulaya kwenye kikosi cha kwanza cha mastaa wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi msimu huu wa 2025-26, lakini timu hiyo ina majina ya...

    MONEY Pict
  4. Makipa kumi wa bei mbaya duniani

    MANCHESTER United iliingia kwenye siku ya mwisho ya kufungwa kwa dirisha la usajili la majira ya kiangazi huko Ulaya jana Jumatatu, ikiwa bize kusaka kipa mpya.

    GHALI Pict
  5. Man United yampigia hesabu kali Kolo Muani

    MANCHESTER United imeingia katika mchakato wa kutaka kumsajili mshambuliaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Ufaransa, Randal Kolo Muani, mwenye umri wa miaka 26, ambaye anawindwa na...

    FUNUNU Pict
  6. Timu kibao Ulaya zaanza kumgombea Gabriel Jesus

    NEWCASTLE na Tottenham ziko katika vita kali ya kuiwania saini ya mshambuliaji wa Arsenal, Gabriel Jesus, mwenye umri wa miaka 28, katika dirisha hili.

    TETESI Pict
  7. Liverpool, Isak ngoma tamu, Newcastle Utd yatia ngumu

    STRAIKA wa Newcastle United, Alexander Isak, 25, amefikia makubaliano ya maslahi binafsi na majogoo wa Liverpool ambapo atasaini mkataba wa miaka mitano na kupokea mshahara unaotajwa kufikia...

    TETESI Pict
  8. Waamuzi wawili mechi za Simba ugenini wasimamishwa, Kamwe kimemkuta...

    Mwamuzi msaidizi namba mbili wa mechi ya Tanzania Prisons vs Simba ya Ligi Kuu iliyochezwa ugenini mkoani Mbeya, Nestory Livangala na mwamuzi msaidizi namba mbili Abdallah Bakenga wa Kigoma...

  9. PUMZI YA MOTO: Mpira unapoitia siasa majaribuni

    IRAN limekuwa taifa la sita kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 kufuatia sare ya nyumbani ya mabao 2-2 dhidi ya Uzbekistan, Jumanne iliyopita. zee nguvu ya mpira hata kidogo. Mpira ulisimamisha...

  10. Mtiti Kombe la Dunia la Klabu ngoja tuone!

    MICHUANO ya Kombe la Dunia kwa klabu mwaka huu itahusisha timu nyingi zaidi kwa mara ya kwanza ikiwa ni mfumo mpya wa mashindano hayo.

Previous

Page 700 of 905

Next