De La Fuente amzidi akili Scaloni BAADA ya nusu fainali mbili zilizojaa drama na burudani, wengi walitarajia fainali ya Kombe la Dunia 2026 iwe ya aina yake. Hata hivyo, mchezo huo haukufikia matarajio, lakini mwisho wa siku...
Rais Trump alivyoteka shoo na kuibua gumzo FAINALI ya Kombe la Dunia 2026 huenda isikumbukwe kwa ubora wa soka lililoonyeshwa uwanjani, bali kwa matukio makubwa yaliyoizunguka. Kuanzia Donald Trump, Tom Cruise, Madonna, Justin Bieber hadi...
Ballon d'Or: Messi, Lamine, Rodri, Kane au Mbappe? KOMBE la Dunia la 2026 limefikia tamati na sasa macho ya mashabiki yanaelekezwa kwenye msimu mpya wa klabu wa 2026-27.
Amrouche, Dube wataja sifa tano zitakazombeba Mtasingwa Kaizer Chiefs KOCHA wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Adel Amrouche mwenye uraia wa Ubelgiji huku akiwa na asili ya Algeria, amemfananisha kiungo mpya wa Kaizer Chiefs, Adolf Mtasingwa Bitegeko, na...
Mateso kwa Mikel Arteta KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amekumbana na changamoto kubwa kufuatia baadhi ya wachezaji wake muhimu kurejea kutoka Kombe la Dunia wakiwa na majeraha na uchovu mkubwa.
Gor Mahia yatuma salamu nzito Kagame Cup ikiifumua APR mabao 5-0 MABINGWA wa Kenya, Gor Mahia, wameanza kwa kishindo kampeni ya Kombe la CECAFA Kagame 2026 baada ya kuwachapa mabingwa wa Rwanda, APR FC, mabao 5-0 katika mchezo wa Kundi A ulioonekana kuwa wa...
Ngai ahesabu mafanikio, Himba aahidi vitendo Ujumbe Yanga TUNAENDELEA kuwaangalia wagombea wa uchaguzi mkuu wa Yanga tukisalia palepale kwenye kundi la waaoutaka ujumbe wa kamati ya utendaji wa klabu hiyo ambao wameshapita kwenye mchujo wa mwisho...
Ubingwa England kaa la moto LIGI Kuu England imezoeleka kuwa na mabingwa wanaotawala kwa muda mrefu, lakini msimu wa 2026-27 unaonekana kuvunja utamaduni huo.
FIFA yasalimu amri, yafuta m,pango wa kulipiga bei Kombe la Dunia SHIRIKISHO la Soka Duniani (Fifa), limeufuta mpango wake wa kuuza sehemu ya hisa za haki za kibiashara za Kombe la Dunia kwa wawekezaji binafsi, baada ya kukumbana na upinzani mkubwa kutoka kwa...
Mambo sita yaliyoiua Simba baada ya hapo kushinda ugenini na Vipers ya Uganda ila matokeo yakiwa tofauti na hivyo hali itakuwa siyo shwari kwa upande wao. Ukiachana na hilo, Mwanaspoti kupitia mwandishi maalumu ndani...