Nusu fainali AFCON U-17 utamu upo hapa MECHI za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 (AFCON U-17), zinaendelea kuchezwa nchini Morocco ambapo vijana wa Tanzania, Serengeti Boys wamefuzu kwa...
Giza ishu ya Christian Eriksen kustaafu KIUNGO nyota wa Denmark, Christian Eriksen, amesema hana mpango wa kustaafu soka kwa sasa licha ya kuanguka tena uwanjani katika tukio lililozua hofu kwa mashabiki na wadau wa mchezo huo duniani.
Savinho anavyopitia misuli ya Spurs, Man United WINGA wa Brazil na Tottenham Hotspur, Savio Moreira de Oliveira maarufu Savinho, mwenye umri wa miaka 22 anadaiwa kuwa katika hatua za lalasalama za kupitia ofa kutoka Manchester United na...
Nani kuwa mchezaji bora Kombe la Dunia? KOMBE la Dunia 2026 linaanza huku dunia nzima ikitazama ni mchezaji gani atakayeng’ara zaidi na kutwaa tuzo ya Golden Ball yaani Tuzo ya Mchezaji Bora wa mashindano hayo. Tuzo hiyoi ilianza 1982...
Tahadhari kali kwa mashabiki wanaosafiri Kombe la Dunia MASHABIKI wa soka watakaosafiri kwenda kushuhudia Kombe la Dunia 2026 nchini Marekani wametakiwa kubeba pasipoti muda wote kutokana na uwezekano wa kusimamishwa na maofisa wa Uhamiaji wa Marekani...
Anthony Joshua anavyokabiliana na hisia vifo vya rafiki zake BONDIA Anthony Joshua ‘AJ’ amezungumzia jinsi anavyoendelea kukabiliana na hisia kufuatia vifo vya marafiki zake Sina Ghami na Latif “Latz” Ayodele, miezi sita baada ya kunusurika katika ajali ya...
Kombe la Dunia la mikeka Kombe la Dunia la FIFA linatarajiwa kuwa tukio kubwa zaidi la kamari katika historia, huku zaidi ya dola 50 bilioni za Marekani zikitarajiwa kuwekwa kwenye dau duniani kote.
Knicks yaweka rekodi NBA TIMU ya New York Knicks imebakiza ushindi mmoja tu kutwaa ubingwa wa NBA kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1973 baada ya kufanya moja ya marejeo makubwa zaidi katika historia ya Fainali za NBA na...
Ujauzito waiponza Lazio TIMU ya wanawake ya Lazio imeamriwa kulipa fidia kwa kiungo wake wa zamani Maja Gothberg baada ya kubainika kuwa ilisimamisha ajira yake kinyume cha sheria kutokana na ujauzito wake.
Ivory Coast ilivyomalizana na Curacao IVORY COAST wataingia katika hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia baada ya straika wa Villarreal, Nicolas Pepe kuibuka shujaa katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Curacao.