Barcelona yapanga kukaa mezani na Lewandowski BARCELONA imepanga kumpa mshambuliaji wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski, 37, mkataba mpya wa mwaka mmoja ambao utahusisha kumpunguza mshahara lakini kutakuwa na bonasi kubwa kulingana na...
Real Madrid kumgeukia Enzo Fernandez kisa Rodri REAL Madrid inapanga kuhamia kwa kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez ikiwa itafeli kuipata saini ya staa wa Manchester City, Rodri, 29, katika dirisha lijalo la kiangazi.
Dili la Tonali, Manchester United bado lipo hai England MANCHESTER United imepata nafuu katika harakati za kumsajili kiungo wa Italia, Sandro Tonali 25, kutoka Newcastle United baada ya kuambiwa timu hiyo itakuwa tayari kuuza baadhi ya wachezaji...
Wasaudia wataka kumalizana na Salah mapema MATAJIRI wa Ligi Kuu Saudi Arabia, wana matumaini makubwa ya kuipata huduma ya mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Barcelona yanogewa na Rashford, kuurefusha mkopo wake BARCELONA inapanga kumbakisha mshambuliaji wa kimataifa wa England, Marcus Rashford, 28, kwa mkopo wa msimu mwingine, baada ya huu wa sasa kumalizika, huku ikielezwa ni katika kuepuka kumnunua...
Wembanyama anavyopita njia ya LeBron HAKUNA ubishi kuwa Victor Wembanyama ni kati ya wachezaji chipukizi wanaoibeba sura mpya ya NBA akivunja rekodi kibao na kuonyesha bora kinachowafanya baadhi ya wachambuzi kumlinganisha na...
Darwin Nunez anukia Chelsea, Newcastle pia ipo CHELSEA imeingia katika vita ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Al-Hilal ya Saudi Arabia na timu ya taifa ya Uruguay, Darwin Nunez, 26, kuelekea dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Kisa Palmer, Manchester United yatajiwa pesa ya kuweka mezani Manchester United imeonywa italazimika kuvunja rekodi ya uhamisho ya Uingereza kwa dau la zaidi ya Pauni 150 milioni ili kumng’oa Cole Palmer Chelsea.
Ronaldo asepa Saudia, aenda Hispania akikwepa mabomu ya Iran Ndege binafsi inayomilikiwa na nyota wa soka wa Ureno, Cristiano Ronaldo, imeruka kutoka Saudi Arabia usiku wa manane kuelekea Madrid, Hispania, hatua inayozua maswali iwapo mshambuliaji huyo...