Kazi moja Simba KOCHA wa Simba, Patrick Lieweg amesema kikosi chake kina kazi moja tu kesho Jumapili mbele ya Recreativo Libolo ya Angola.
Stars waonja fitina za Waarabu TAIFA Stars ambayo jana usiku ilikuwa ikichuana na wenyeji wao, Algeria ilijikuta ikikabiliana na fitina za Waalgeria baada ya basi lao kutelekezwa na dereva wake kutoweka akiacha mlango wazi na...
Kazi moja Simba KOCHA wa Simba, Patrick Lieweg amesema kikosi chake kina kazi moja tu kesho Jumapili mbele ya Recreativo Libolo ya
MIAKA 3 KIFO CHA KANUMBA: Wasanii wamepoteza ajira ILIKUWA Aprili 7, 2012 pale nyota iliyong’ara katika tasnia ya filamu ilipozimika ghafla.
Stars ilitajwa kwa sababu za ‘kiufundi’ >MACHI 5 mwaka huu duniani kote zilichezwa mechi za kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Yanga hii inakamatika kabisa, Ashanti ni matatizo makubwa NILIKUWA kwenye Uwanja wa Taifa Jumamosi iliuopita kwa mambo mawili. Kwanza ni kushuhudia mechi ya kwanza ya msimu mpya kwenye Uwanja huo na pili ni kuangalia uwezo wa Yanga na Ashanti mpya
Ni lini kanda ya Cecafa itacheza Afcon? KWA mara nyingine mataifa wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), tumebaki kuwa watazamaji wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zinazoendelea kule...
HISIA ZANGU: Sio bahati mbaya akina Chirwa kucheza soka Tanzania OBREY Chirwa anajua kweli mpira. Kuelekea mwishoni mwa msimu uliopita alikuwa akifunga mabao ya video tu. Anajua kwelikweli mpira.
Wamebambwa utamu! WAUMINI wa dini ya Kiislam duniani wapo katika mfungo wa Mwezi wa Ramadhani. Mfungo huo ni moja kati ya nguzo tano za dini ya Kiislam, ikiwa ni nguzo ya nne.
JICHO LA MWEWE: Msikilize mchambuzi wa soka Rooney WAINGEREZA wa Skysport walimuweka, Wayne Rooney kuwa Mchambuzi katika pambano la Watford dhidi ya Chelsea pale Vicarage Road.