Chelsea yaendelea kupambana kumnasa Alejandro Garnacho CHELSEA ambayo imefikia makubaliano binafsi na Alejandro Garnacho, imeongeza kasi ya mazungumzo na Manchester United kuhusu suala la ada ya uhamisho ya staa huyo aliyewaeleza wawakilishi wake...
PRIME Sakata la ‘Ninju’ Yanga, azam FC liko hivi AGOSTI 6, 2024 Azam FC ilimpa kijana Abubakar Nizar Othman ‘Ninju’ mkataba wa malezi, yaani wa akademi, wa miaka mitatu ambao ulitakiwa kukoma mnamo Agosti 5, 2027.
Tatu zapigana vikumbo kwa Manuel Akanji BAYER Leverkusen na Galatasaray zinataka kuingia katika vita dhidi ya Crystal Palace kwa ajili ya kumsajili beki wa kati wa Manchester City, Manuel Akanji, 30, katika dirisha hili.
Garnacho, Chelsea mambo yao sasa yameanza kunoga MANCHESTER United iko hatua za mwisho kufikia makubaliano ya kumuuza winga wake chipukizi wa kimataifa wa Argentina, Alejandro Garnacho, 21, kwenda Chelsea kwa ada inayokadiriwa kuwa kati ya...
Upamecano agomea mkataba mpya aibukia rada za mabosi Old Trafford MANCHESTER United imeripotiwa kutaka kufanya usajili wa kushtukiza wa kumnasa beki wa kati wa Bayern Munich, Dayot Upamecano kabla ya dirisha halijafungwa.
Old Trafford hali si shwari… Kuna kikao wiki ijayo! KOCHA Ruben Amorim atakuwa na kikao kizito cha mazungumzo na mabosi wa Manchester United wiki ijayo baada ya kibarua chake huko Old Trafford kuwa kwenye majanga makubwa.
Hojlund, Napoli sasa mambo yamefikia patamu BAYER Leverkusen na Galatasaray zinataka kuingia katika vita dhidi ya Crystal Palace kwa ajili ya kumsajili beki wa kati wa Manchester City, Manuel Akanji, 30, katika dirisha hili.
Kwa hizi rekodi NBA tema mate chini KILA msimu mpya wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) huibua mjadala kuhusu nani ataibuka na kuwa gumzo, timu ipi itatawala na rekodi zipi zitavunjwa.
Liverpool sasa kumsubiri Mark Guehi mwakani, Chelsea, Man U zaingilia dili Liverpool imepanga kumsajili beki kisiki wa Crystal Palace, Marc Guehi kwa usajili huru ifikapo mwisho wa msimu huu baada ya harakati zao za kutaka kumsajili dirisha lililopita la majira ya...
Madrid yapanga kuitibulia Liverpool kwa Guehi REAL Madrid inapiga hesabu za muda mrefu kuingia katika vita dhidi ya Liverpool mwakani ili kuipata saini ya beki kisiki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi.