Majogoo watenga Pauni 250 milioni, Alvarez atajwa LIVERPOOL imepanga kutumia zaidi ya Pauni 250 milioni dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwa ajili ya kuboresha kikosi chao NA ina mpango wa kusajili mastaa kadhaa ikiwemo straika wa Atletico...
Kumbe Neymar angetwaa Ballon d'or tatu SANTOS, BRAZIL: Staa wa zamani wa Real Madrid, James Rodriguez amesema kuwa mastaa wawili, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo walimzuia Neymar kutwaa tuzo maarufu ya Ballon d'or. Kiungo huyo...
Vichaka vya straika Isak msimu ujao NEWCASTLE United itakuwa kwenye presha kubwa ya kupambana kubaki na huduma ya straika wao wa mabao, Alexander Isak dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi hasa baada ya kuwaongoza...
Real Madrid yajisogeza kwa Wirtz REAL Madrid inapambana kutaka kumsajili winga wa Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Ujerumani, Florian Wirtz, 22, kwa kumtumia kocha wake wa zamani Xabi Alonso ambaye ametangazwa kuwa kocha...
MAGIC JOHNSON: Kinara wa asisti fainali NBA KATIKA ulimwengu wa mpira wa kikapu kuna usemi maarufu unaosema “mpira unapita haraka kuliko mchezaji.” Hii inaashiria umuhimu wa pasi sahihi katika kuongoza timu kupata ushindi.
Kombe la Dunia la Klabu moto wazidi kuwashwa USIKU wa leo, kuanzia saa sita wakati siku inabadilika na kuwa Juni 17, Kombe la Dunia la Klabu litaendelea kwa michezo minne ya hatua ya makundi.
PRIME Zamalek washusha mzigo Yanga NDANI ya wiki chache zijazo, mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize ataweka rekodi mbili kwenye soka la Tanzania endapo dili lake la kucheza nje litakwenda kama lilivyopangwa.
Aston Villa yatia mguu kwa Sancho ASTON Villa imeingia katika harakati za kutaka kumsajili winga wa Manchester United na England, Jadon Sancho, 25, katika dirisha hili.
Sasa Basi! Game 7 kuamua Mfalme wa NBA 2025 WAKATI mshale wa saa ukielekea kesho, Jumatatu saa 3:00 asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki, macho na masikio ya wapenzi wa mpira wa kikapu yataelekezwa kwenye Uwanja wa Paycom Center katika...
Bayern Munich haijakata tamaa kwa Nico Williams BAYERN Munich bado ina matumaini ya kumsajili winga wa Athletic Bilbao na timu ya taifa ya Hispania, Nico Williams, 22, katika dirisha hili licha ya mchezaji huyo kufikia makubaliano ya kujiunga...