Madrid yadhamiria kumuuza Vinicius Jr Saudi Arabia Real Madrid imedhamiria kumuuza winga wao wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Junior, 25, dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwenda Saudi Arabia.
Arsenal, Manchester City kazi inaendelea EPL KWENYE msimamo wa Ligi Kuu England unavyosoma, Arsenal imeketi kileleni kwa tofauti ya pointi tatu baada ya kukusanya pointi 19 katika mechi nane, ambapo imeshinda sita, sare moja na kuchapwa moja.
Mambo 4 vita ya Curry, Gordon NBA TIMU za Golden State Warriors na Denver Nuggets zilianza msimu huu zikiwa na lengo moja tu kurejea kwenye fainali za NBA na kuzuia utawala wa Oklahoma City Thunder katika ukanda wa Magharibi.
Mastaa NBA, kocha walivyonaswa ishu ya kubeti LIGI ya mpira wa kikapu ya Marekani (NBA) imekumbwa na kashfa kubwa ya kamari baada ya wachezaji na makocha kadhaa kukamatwa kwa tuhuma za kushiriki katika mtandao wa kamari haramu na michezo ya...
Shughuli ya EPL kuendelea wikiendi hii, Chelsea v Liverpool HEKAHEKA za Ligi Kuu England zitaendelea wikiendi hii ambapo mechi nne ambazo zinasubiriwa kwa hamu kwani huenda zikaamua timu ipi itakuwa kuleleni wiki mbili zijazo.
Everton inasikilizia kwa Gabriel Jesus ARSENAL inadaiwa ipo tayari kukubali ofa ya takribani Pauni 30 milioni kwa ajili ya kumuuza mshambuliaji wao wa kimataifa wa Brazil, Gabriel Jesus,28, dirisha lijalo la majira ya baridi.
MAGIC: Fundi mwingine anayetajirika baada ya kustaafu KATIKA mpira wa kikapu kwa sasa, wachezaji ambao wanaongoza kwa utajiri kijumla sio wale wanaocheza bali waliostaafu tena zamani.
Liverpool yapanga kuweka mzigo kwa Olise LIVERPOOL iko tayari kutumia takribani Pauni 130 milioni kumsajili winga wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ufaransa, Michael Olise, mwenye umri wa miaka 23, dirisha la majira ya kiangazi mwakani.
Hojlund, Rashford wamtumia ujumbe mzito Amorim WAKATI Manchester United ikiwa haina mwanzo mzuri msimu huu, nyota waliokosa nafasi kikosini hapo na kuondoka, wanakiwasha ipasavyo klabu zingine, huku usiku wa kuamkia leo wakifanya balaa kwenye...
Man United, Liverpool zinapigana vikumbo kwa Branthwaite LIVERPOOL na Manchester United zinaiwania saini ya beki kisiki raia wa England, Jarrad Branthwaite, 23, kutoka Everton dirisha lijalo la majira ya baridi.