Guehi, Rice hatarini kukosa robo fainali ENGLAND imepata pigo jipya kuelekea robo fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Norway baada ya beki wa kati Marc Guehi kusubiriwa kufanyiwa tathmini ya mwisho saa chache Ijumaa ili kubaini kama...
Bruno akumbwa na matusi kisa Cristiano Ronaldo NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, amejikuta akipokea wimbi kubwa la matusi na lawama katika mitandao ya kijamii baada ya Ureno kutolewa kwenye Kombe la Dunia, huku baadhi ya...
Kisa vitisho vya kuuawa agoma kurudi Colombia MSHAMBULIAJI wa Colombia, Jaminton Campaz, anaripotiwa kutorejea nchini kwao baada ya kuondolewa kwenye Kombe la Dunia 2026 kutokana na hofu ya usalama wake kufuatia kupokea vitisho vya kuuawa...
Nikimkumbuka Kizota, naikumbuka Boxing Day LEO Alhamisi ni siku maalumu, inaitwa Boxing Day, siku ya kufungua zawadi, siku moja baada ya Wakristo duniani kuadhimisha siku maalumu ya kuzaliwa mkombozi wao Yesu Kristo katika Bethelehemu ya...
Twiga Stars ipo tayari kwa WAFCON 2026 KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania, Twiga Stars Bakari Shime amesema maandalizi ya kikosi chake kuelekea fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 yanaendelea...
Man City yakomaa kwa Ayyoub Bouaddi Manchester City imeongeza juhudi za kumwania kiungo chipukizi wa Lille, Ayyoub Bouaddi, kufuatia kiwango alichoonyesha katika msimu uliopita na Kombe la Dunia, kwa mujibu wa taarifa za talkSPORT.
Rais wa LaLiga amtaka Infantino ajiuzulu RAIS wa LaLiga, Javier Tebas, amemtaka rais wa FIFA, Gianni Infantino, kujiuzulu, akidai uongozi wake unaharibu tasnia ya soka kwa uamuzi yanayoweka maslahi ya mashindano ya Kombe la Dunia mbele...
Mwisho wa mechi 831 za Anthony Taylor MWAMUZI mashuhuri wa Ligi Kuu England (Premier League), Anthony Taylor, ametangaza kustaafu rasmi kazi ya uamuzi, siku chache baada ya kumalizika kwa Kombe la Dunia 2026.
Bounemouth yakataa ofa nono ya Chelsea Bournemouth imekataa ofa ya pauni 64 milioni iliyowasilishwa na Chelsea kwa ajili ya kumsajili kiungo Alex Scott.
Mauzo ya kihistoria EPL: Ronaldo juu, Isak nje ya kumi bora LICHA ya dirisha hili la usajili kushuhudia wachezaji watatu wa Ligi Kuu England kuuzwa kwa zaidi ya pauni100 milioni kila mmoja, hakuna hata mmoja anayekaribia rekodi ya Cristiano Ronaldo baada...