Waache wauwane! Vita kali ya Arsenal, Man City msimamo EPL NDO hivyo. Arsenal na Manchester City weka niweke. Miamba hiyo imetofautiana pointi sita tu kwenye msimamo wa Ligi Kuu England, jambo linaloashiria kuwapo kwa vita kali katika kusaka ubingwa wa...
KMC yaongoza ‘ligi’ ya kujiweka KIKOSI cha KMC kinajindaa kushuka uwanjani jioni ya kesho Jumatano ikiwa wenyeji wa Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku ikiwa ni kama imekumbwa na mdudu mbaya, kwani licha ya kuanza vibaya...
Mbio za ubingwa EPL… Arteta amejaa hofu! KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amekiri majeraha yanaweza kuharibu nafasi ya timu yake kutwaa mataji manne ya kihistoria msimu huu baada ya kumpoteza nyota mwingine muhimu wakati wa mchezo wa...
Kali ya Neymar Brazil amgeukia “Dr Miracle SUPASTAA, Neymar amemgeukia “Dr Miracle” kuamua hatima yake ili kutimiza ndoto za kucheza Kombe la Dunia 2026.
Kama huna hela, tiketi Kombe la Dunia 2026 hugusi MASHABIKI wa soka wanaojiandaa kwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026 watakabiliwa na kasheshe zito la kuhusu bei ya tiketi za mechi kutokana na kuuzwa ghali sana.
Kompyuta yatabiri… Bingwa Kombe la Dunia 2026 NI taifa gani unaloamini litaenda kubeba Kombe la Dunia 2026 huko Marekani? Bila ya shaka una mtazamo wako kuhusu nchi gani itaenda kutwaa taji hilo kubwa na lenye heshima zaidi katika mchezo...
Mwamba Bruno Fernandes ajiunga na klabu ya wakali wa asisti STAA wa Manchester United, Bruno Fernandes amejiunga na klabu ya wakali wa asisti baada ya kufanikiwa kutoa asisti ugenini huku Manchester United ikiingia sita bora katika Ligi Kuu England, baada...
Arsenal vs Spurs... Gemu lenye ufundi mwingi LIGI imerudi na gumzo la wikiendi ni kipute cha North London Derby.
Gattuso apendekeza Ligi Kuu Italia isimame kwa muda Kocha wa timu ya taifa ya Italia, Gennaro Gattuso, ameomba mechi za Serie A zilizopangwa kabla ya mechi za mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, ziahirishwe ili kutoa muda kwa kikosi hicho...
Barca yazidi kujisogeza kwa Marc Guehi, Liverpool nayo ipo BARCELONA imejiingiza katika vita dhidi ya vigogo wengine Ulaya ili kuipata saini ya beki kisiki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi ambaye imekuwa ikimfuatilia kwa karibu.