Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9003 results for Mwandishi :

  1. 'Mbongo' aitibulia Bayern pati la ubingwa 

    PATI la ubingwa la klabu ya Bayern Munich, imetibuliwa Ujerumani baada nyota mwenye asili ya Tanzania, Yussuf Poulsen kufunga la la kusawazisha sekunde chache kabla ya filimbi ya mwisho na...

    YUSUF Pict
  2. Nkuku anavyotolewa macho viunga vya Arsenal

    ARSENAL inafikiria kumsajili straika wa Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa, Christopher Nkunku, 27, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa ni katika lengo la kuboresha safu ya...

    TETESI Pict
  3. Rashford alilia mchongo wa Barcelona

    MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Marcus Rashford yuko tayari kukubali kupunguziwa mshahara ili kuondoka katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi na kujiunga na Barcelona inayodaiwa kumhitaji.

  4. Rashford aililia FC Barcelona akizidi kuikaushia Man United

    MSHAMBULIAJI wa Manchester United na England, Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 27, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo Aston Villa, yuko tayari kupunguza mahitaji yake ya mshahara ili kufanikisha...

    FUNUNU Pict
  5. Liverpool sasa yapanga kumng’oa Nkunku Chelsea

    RIPOTI zinaeleza mshambuliaji wa Chelsea, Christopher Nkunku, mwenye umri wa miaka 27, ni moja kati ya mastaa ambao Liverpool inataka kuwasajili katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa...

  6. Man United kuipiku Arsenal kwa Viktor Gyokeres

    MANCHESTER United ina matumaini kwamba inaweza kumshawishi mshambuliaji wa Sporting na timu ya taifa ya Sweden, Viktor Gyokeres, 26, kujiunga nayo katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi...

  7. Bayern Munich, Liverpool zamweka njia panda Wirtz

    KIUNGO mshambuliaji wa Bayer Leverkusen, Florian Wirtz, anatarajiwa kuchagua kati ya kujiunga na Bayern Munich au Liverpool ndani ya siku kumi zijazo.

    FUNUNU Pict
  8. Arteta: Hatujafanya vizuri msimu huu, tutasajili

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amefunguka kwamba timu yake itatumia fedha nyingi katika dirisha la majira ya kiangazi mwaka huu, akikiri walifahamu kuwa kikosi chao hakikuwa bora vyakutosha msimu...

    ARTETA Pict
  9. Leverkusen kuzibania Bayern, City kwa Wirtz

    BOSI wa Bayer Leverkusen, Fernando Carro anaamini kuna nafasi ya asilimia 50 kwa kiungo wao wa kimataifa wa Ujerumani, Florian Wirtz mwenye umri wa miaka 22, kubakia katika kikosi hicho licha ya...

  10. Atletico yajitosa kwa Antony, Juventus, Villarreal zatajwa

    ATLETICO Madrid imepanga kufanya mazungumzo na wawakilishi wa winga wa Manchester United, Antony, 25, ili kumsajil katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.

    TETESI Pict
Previous

Page 586 of 901

Next