Bondia Mgaya kuzikwa kesho Januari 2, Jeti Lumo Mweka hazina wa Chama cha mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Cosmas Cheka amesema kuwa bondia Hassan Mgaya sasa anatarajia kuzikwa kesho Januari 2, 2025 badala ya leo Jumatano kama...
Kocha West Ham apewa mechi mbili KOCHA Julen Lopetegui ameripotiwa kwamba amepewa mechi mbili za kuamua hatima ya kibarua chake kwenye kikosi cha West Ham United.
Ligi Kuu Bara yasimama hadi Machi mosi, 2025 Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetangaza kuwa baada ya michezo iliyofanyika Desemba 29, 2024 ligi hiyo itasimama hadi Machi mosi itakaporejea kwa mzunguko wa 17.
Willian avunja mkataba Ugiriki STAA wa zamani wa Arsenal na Chelsea, Willian ameripotiwa kuvunja mkataba na klabu ya Olympiacos.
Dani Olmo pasua kichwa Barca BARCELONA ipo kwenye hatari ya kumpoteza Dani Olmo baada ya kukwama kwenye rufaa ya kumwandikisha mchezaji huyo kwenye kikosi.
Vikwazo vitatu vinavyoikabili Arsenal kupata saini ya Isak ARSENAL inakabiliwa na vikwazo vitatu katika mpango wa kunasa saini ya straika wa Newcastle United, Alexander Isak.
PUMZI YA MOTO: 2024 ulikuwa mwaka wa Fei Toto LIONEL Messi anatajwa mmoja wa wachezaji bora wa muda wote duniani, kama siyo mchezaji bora wa muda wote.
PRIME Okrah amzuia beki mpya Yanga MASHABIKI wa Yanga wanamuona beki mpya aliyetua hivi karibuni kutoka Singida Black Stars, Israel Mwenda mazoezini tu, lakini bado hajaweza kuruhusiwa kuanza kucheza lakini imefahamika kwamba...
Huko Man United kazi ipo KOCHA Ruben Amorim anafahamu wazi mashabiki wa Manchester United wamechoshwa na mwenendo wa klabu yao kwa sasa.
Man United yatafuta kipa MANCHESTER, ENGLAND: MANCHESTER United inafikiria kusajili kipa mpya, huku kinda wa Kibelgiji, Senne Lammens akiwekwa kwenye mpango. Kocha mpya wa Man United, Ruben Amorim ameanza kuwa na...