Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8195 results for Mwandishi Wetu :

  1. Rashford awachanganya Wasaudia, wampa ofa nono

    MSHAMBULIAJI wa Manchester United na England, Marcus Rashford, 27, ameripotiwa kukataa ofa tatu kutoka Saudi Arabia ambako timu kibao zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili.

  2. Kinachopaswa kufanywa Arsenal, Man United dirisha la Januari

    USAJILI wa Januari ni dirisha la kijanja na gumu sana kwa klabu za soka kupata mastaa inayowataka wawepo kwenye timu zao.

  3. DILI TAMU! Rashford aende Napoli, Osimhen aje Man United

    STAA, Marcus Rashford huenda akahusishwa kwenye dili la kubadilishana mchezaji litakalomhusu straika wa Napoli, Victor Osimhen kwenye dirisha hili.

  4. Mapinduzi Cup 2025 vita ya wanandugu

    PAZIA la michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 ambayo kwa msimu huu imehusisha timu za taifa, linafunguliwa leo usiku kwa mchezo mmoja unaozikutanisha timu ‘ndugu’ za Tanzania Bara na Zanzibar...

    Mapinduzi Pict
  5. NIONAVYO: 2025 kutoa mwelekeo wa mpira Wetu

    Ni msemo wa kawaida kwamba “mpira una maajabu yake”, lakini kuna msemo wa kiufundi zaidi kwamba “mpira unavyoupiga ndivyo unavyokwenda”. Kiufundi, jambo lolote ni matokeo ya juhudi, maarifa na...

    Nionavyo Pict
  6. Kilimanjaro Heroes ni ubingwa tu Mapinduzi Cup

    Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Heroes' limesema kuwa lengo kuu la kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2024 yatakayofanyika Pemba, Zanzibar ni kutwaa ubingwa.

  7. PRIME Gusa achia yaitisha TP Mazembe

    MSAFARA wa TP Mazembe unatua leo nchini tayari kukutana na Yanga katika mchezo ambao kila timu inataka kuweka hesabu sawa kufufua matumaini ya kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...

  8. Madrid yasubirishwa kwa Trent Alexander-Arnold

    LIVERPOOL inadaiwa kutupilia mbali ofa ya Real Madrid iliyowasilishwa katika dirisha hili kwa ajili ya kumsajili beki wao raia wa England, Trent Alexander-Arnold, 26, ambaye mkataba wake...

  9. Makocha Waingereza wanavyochemsha kwenye soka

    KUNA orodha kubwa ya wachezaji wa England ambao walitamba sana kuanzia miaka ya 2000 hadi sasa ambao walikuwa na mchango mkubwa katika timu zao hadi kufikia kustaafu kwao.

  10. Timu zitakavyokuwa bize kusajili mastaa Januari hii

    DIRISHA la Januari 2025 la usajili wa mastaa wa soka limefunguliwa - na bila shaka klabu zitakwenda kuwa bize kwelikweli kusaka wakali wapya.

Previous

Page 581 of 820

Next