Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Gusa achia yaitisha TP Mazembe

Muktasari:

  • Baada ya kutambua ina ratiba ya kukutana na Yanga, mabosi wa Mazembe walituma mashushushu ili kupiga chabo katika mechi mbili za Ligi Kuu, lakini moto walioushuhudia umewashtua kwa kubaini soka linalopigwa sasa na vijana wa Jangwani sio kama lile walilocheza siku ya sare ya 1-1 pale jijini Lubumbashi, Desemba 14, mwaka jana.