Virgil van Dijk amvaa staa wa Everton NAHODHA wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemuonya kiungo wa Everton, Abdoulaye Doucoure, kwa kuanzisha ugomvi uwanjani wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu England, usiku wa jana Jumatano.
Ngorongoro, Serengeti kivumbi na jasho AFCON 2025 TIMU za Taifa za Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys na ile ya chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, kila moja imepangwa kundi A na mwenyeji kwenye michuano ya AFCON kwa vijana...
Arsenal majanga, Havertz nje msimu mzima STAA wa Arsenal, Kai Havertz atakosekana uwanjani kwa kipindi chote cha msimu kilichobaki baada ya kupata tatizo la maumivu ya misuli wakati akiwa mazoezi kwenye kambi ya timu hiyo, huko Dubai.
Man City yamponza aguero, aliwa Sh 26M STAA wa soka, Sergio Aguero amelazimika kuangua kicheko cha aibu baada ya kuahidi kwamba atakata korodani zake endapo kama Manchester City itapoteza mbele ya Real Madrid katika mchzo wa kwanza wa...
Ten Hag kupewa mchongo Feyenoord ERIK ten Hag muda wowote simu yake inaweza kuita kwa ajili ya kupewa mchongo wa kwenda kuinoa Feyenoord ya huko kwao Uholanzi, imeelezwa.
Duh! Havertz naye majeruhi ARSENAL majanga yanaendelea kuikumba timu yao baada ya straika wao Kai Havertz kuumia wakati wakiwa kwenye mazoezini huko Dubai.
Mastaa Man United wataka mabadiliko! KUMEKUCHA. Mastaa wa Manchester United wameanza kuhoji mfumo wa kocha wao Ruben Amorim wakimtaka bosi huyo Mreno kubadili staili yake ili mambo yaende sawa, imeelezwa.
Guardiola bado anamtamani Florian Wirtz KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola bado anahitaji saini ya kiungo wa Bayer Leverkusen na Ujerumani, Florian Wirtz, 21, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi baada ya kushindwa kufanya...
Real Madrid, PSG zatanguliza mguu 16 Bora UEFA MICHEZO ya mtoano ya kuwania kufuzu kucheza hatua ya 16 bora inaendelea ambapo jana kulikuwa na mechi nne na iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu zaidi ni ile kati ya Real Madrid na Manchester City.
Swahiba wa Mo Salah afichua jambo zito SWAHIBA wake supastaa wa Liverpool, Mohamed Salah, ambaye ni beki wa zamani wa miamba hiyo ya Anfield, Dejan Lovren amefunguka akidai mabosi wa timu hiyo hawampi heshima anayostahili rafiki yake...