Carragher amshangaa Sancho anavyokaba JAMIE Carragher amemchana Jadon Sancho kwa kushindwa kuonyesha jitihada kuinusuru Chelsea isikumbane na udhalilishaji kutoka kwa Brighton.
Amorim afunguka kuuza mastaa United KOCHA, Ruben Amorim amekiri kwamba ataendelea kuuza mastaa wake ili apate pesa ya kusajili wengine huku hilo likituma ujumbe wa wazi namna Manchester United ilivyotikisika kiuchumi.
Aziz KI ampa zawadi Hamisa, athibitisha ndoa Dakika chache baada ya kiungo wa Yanga, Stephanie Aziz KI kutupia kambani chuma tatu, furaha yake imemfanya kufichua juu ya ndoa yake na mwanamitindo Hamisa Mobeto.
Duh! Saka nje wiki nane nyingine BUKAYO Saka ataendelea kuwa nje ya uwanja kwa wiki nane zaidi huku tatizo la majeruhi likiendelea kuwa kubwa na kusumbua kambi ya kikosi cha Arsenal.
Balaa la Bundesliga, La Liga usipime! UTAMU kolea. Ndicho unachoweza kusema kuhusu vipute vya wikiendi hii kwenye La Liga na Bundesliga.
EPL yashtua kufuta ujumbe unaomhusu Slot LIGI Kuu England imeibua mkanganyiko baada ya kufuta baadhi ya maneno yaliyopo kwenye taarifa yao rasmi iliyopo kwenye mtandao wao inayobainisha Kocha wa Liverpool, Arne Slot atakabiliwa na...
Wikiendi ya GG ligi za Ulaya UMEONA ule mziki wa usiku wa jana Ijumaa, Brighton ilipoonyeshana ubabe na Chelsea? Vipi mkeka wako umechanika?
Isak aitamani nafasi ya Salah Liverpool STRAIKA wa Newcastle United na Sweden, Alexander Isak, 25, anadaiwa kutamani zaidi kujiunga na Liverpool badala ya timu nyingine ikiwa ataondoka Newcastle United.
Winga Antony kawa mtamu balaa huko WINGA, Antony amewasha moto huko Real Betis akifunga bao kwenye mechi ya pili mfululizo wakati miamba hiyo ilipokipiga na Gent kwenye mchakamchaka wa Europa Conference League.
PRIME Cristiano Ronaldo bado tishio kwa utajiri Mshambuliaji wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo ameendela kuwaburuza wanamichezo akiongoza katika orodha ya wanamichezo 100 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mwaka 2024, baada...