Ghafla Bruno kawa tatizo Man United! PAUNI 206 milioni zilizotumika kwenye usajili wa mastaa wapya dirisha hili zimemweka mchezaji bora wa Manchester United kwenye matatizo makubwa.
Mashabiki Man United wakinukisha KIMENUKA. Ndicho unachoweza kusema baada ya mashabiki wa Manchester United kuripotiwa kutoa maoni ya kutaka kocha Ruben Amorim afutwe kazi kwa kitendo chake cha kumfanya kiungo Kobbie Mainoo kuwa...
Asante Kotoko yaitibulia Yanga Afrika Kusini Kama Yanga ilikuwa na mpango wa kutetea ubingwa wa Kombe la Toyota mwaka huu huko Afrika Kusini, umekufa rasmi baada ya waandaaji wa mashindano hayo kuialika timu ya Asante Kotoko ya Ghana. Timu...
PRIME Ecua deal done! Wakala athibitisha MASHABIKI wa Yanga wana uhakika wa kutamba sasa, baada ya klabu yao kujihakikishia dili la kumnasa mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Celestin Ecua ambaye atasaini mkataba wa miaka miwili na timu...
Kwa Arsenal hii, mtakimbiana! MIKEL Arteta anakaribia kufanya matumizi ya Pauni 200 milioni dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi wakati Arsenal ikijiandaa kukamilisha usajili wa wachezaji watatu kwa mpigo ndani ya...
PRIME Fei Toto aingiza mabilionea vitani KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' ameendelea kushika vichwa vya mashabiki wa soka kutokana na tetesi za kuanza kuwindwa na klabu kadhaa kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano...
Cunha ni suala la muda Man United MANCHESTER United wamekubaliana na Wolves juu ya kulipa Pauni 62.5 milioni kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa kumsajili staa wao Matheus Cunha katika dirisha lijalo.
PRIME Uamuzi mgumu Simba, MO Dewji atajwa! BILIONEA wa Klabu ya Simba, Mohammed ‘MO’ Dewji ameridhishwa na mafanikio ya timu hiyo kimataifa licha ya kwamba imeshindwa kubeba ubingwa wa Afrika kwa mara nyingine na fasta ameamua kufanya...
PRIME Dili la Diarra kutimka Yanga lipo hivi! PENGINE taarifa hii itawashusha presha mashabiki wa Yanga, wanaoianza wiki ya kwanza ndani ya Juni, baada ya kubainika kuwa, lile dili la kipa namba moja wa timu hiyo, Djigui Diarra anayetakiwa...
Kazini kwa Alexander-Arnold kuna kazi! BEKI, Trent Alexander-Arnold ameambiwa asijidanganye kwamba amejihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza cha Real Madrid kwa sababu anayecheza nafasi hiyo ni mbishi.