Nani kutwaa kiatu cha ufungaji bora? ACHANA na vita ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara inayotarajiwa msimu huu, ushindani mwingine ni mbio za kuwania kiatu cha ufungaji bora.
Ligi Kuu ya Wanawake kazi leo LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania (WPL) msimu wa 2026/2027 inaanza leo Oktoba 28 2026, kwa mechi sita zitakazoanza saa 10 jioni, huku macho yakielekezwa kwa bingwa mtetezi Simba Queens na timu...