Real Madrid kumnunua Trent fasta REAL Madrid ipo tayari kuilipa Liverpool mkwanja kumnasa Trent Alexander-Arnold kabla ya kufanyika kwa michuano ya Kombe la Dunia la Klabu, Juni mwaka huu.
Lazima kieleweke usiku wa Ulaya KIVUMBI na jasho. Ndicho unachoweza kusema kuhusu kipute cha Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya mtoano kitakachopigwa usiku wa leo Jumatano, huku wengi wakisikilizia kitakachokwenda kutokea Wanda...
Pogba ruksa kukipiga tena JUMANNE, Machi 11 ilikuwa siku ya mwisho kwa kiungo Mfaransa Paul Pogba kutumikia adhabu ya kufungiwa soka na sasa, mkali huyo wa zamani wa Manchester United na Juventus yupo huru kukipiga tena...
VIDEO: Maajabu! Uwanja mpya Man United kuingiza watu 100,000 HII ni kufuru. Manchester United itajenga uwanja mpya wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 100,000 wanaoketi, imeelezwa.
Paul Pogba kucheza ni Inter Miami, Uarabuni PAUL Pogba ambaye adhabu yake ya kifungo cha kutocheza soka kinamalizika wiki hii, hadi sada bado hajafanya uamuzi wa wapi anaweza kusaini licha ya kupokea ofa kibao kutoka timu mbalimbali.
Neymar na dada’ke imetokea tena GUNDU la siku ya kuzaliwa dada yake Neymar limemkumba tena supastaa huyo wa Kibrazili ambapo kwa mara ya 10 fowadi huyo anakosa mechi na kushindwa kutumikia timu yake kwenye siku ya sherehe ya...
Rupia, Abuya na Momanyi waitwa Harambee Stars NYOTA wanne wa Ligi Kuu Bara, akiwamo Duke Abuya wa Yanga na Elvis Rupia wa Singida Black Stars ni miongoni mwa wachezaji walioitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars...
Tajiri Man Utd... Tuna wachezaji wachovu tunawalipa pesa nyingi BILIONEA mmiliki mwenza Manchester United, Sir Jim Ratcliffe amekiri kwamba baadhi ya wachezaji hawana uwezo wa kutosha kuendelea kuwapo Old Trafford.
Arteta namba zinatosha MIKEL Arteta ametimiza mechi 200 za Ligi Kuu England tangu alipochukua mikoba ya kuinoa Arsenal mwaka 2019 – lakini rekodi zake zinachuana vipi na makocha wanaotajwa kuwa manguli kwenye historia...
Florian Wirtz mdomoni mwa timu vigogo Ulaya MANCHESTER City imeendelea kufanya mazungumzo na winga wa Bayer Leverkusen na Ujerumani, Florian Wirtz kwa ajili ya kumsajili katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.