Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8975 results for Mwandishi :

  1. Ada kubwa ya usajili wa wachezaji byebye!

    ISHU ya wanasoka mastaa kusajiliwa kwa pesa nyingi inaweza kuwa historia baada ya mabosi wanaowasimamia wachezaji hao kutaka mastaa kuwa na uhuru wa kuvunja mikataba yao kwa kulipa fidia...

    ADA Pict
  2. Mzigo mpya EPL hewani leo!

    LIGI Kuu England imethibitisha kwamba itaweka hadharani ratiba ya msimu wa 2025/26, leo Jumatano.

    RATIBA Pict
  3. Kompyuta yatabiri bingwa EPL 2025/26

    KOMPYUTA ya kisasa imetabiri msimamo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England kwa msimu wa 2025/26 baada ya ratiba zote kutangazwa juzi.

    KOMPYUTA Pict
  4. Infantino kuhudhuria fainali ya CHAN, Madagascar vs Morocco Kenya

    RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, anatarajiwa kuwasili nchini Kenya Jumamosi, Agosti 30 mwaka huu, kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Kombe la Mataifa ya...

  5. Kwa mziki huu wa Man United! Kaa mbali

    MANCHESTER United imeamua kufungua pochi kufanya usajili wa kuboresha safu ya ushambuliaji kumaliza tatizo la mabao ambalo lilimkabili kocha Ruben Amorim msimu uliopita, huku ikielezwa kujenga...

    MZIKI Pict
  6. Kompyuta yaleta balaa zito EPL

    ACHANA na kilichotokea usiku wa jana Ijumaa, Liverpool imetabiriwa itatetea taji lake la Ligi Kuu England msimu huu, kwa mujibu wa uchambuzi wa kompyuta maalumu ya mtandao wa Opta.

    KOMPYUTA Pict
  7. Jamie Carragher: Kupendeza kunambeba Amorim!

    WELI kuishi kwingi ni kuona mengi. Beki wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya England, Jamie Carragher amesema Ruben Amorim anabebwa tu na mwonekano wake na ndiyo maana hajaonyeshwa mlango...

    KUPENDEZA Pict
  8. Mzigo wa usajili EPL ni kufuru

    KLABU za Ligi Kuu England zimetumia karibu theluthi moja ya matumizi yote ya kimataifa ya usajili wa wachezaji dirisha hili la majira ya kiangazi.

    KUFURU Pict
  9. Kipa aanguka na kufa akiokoa penalti

    Kipa Antonio Edson dos Santos Sousa wa timu ya Sind Motos ameanguka na kufa muda mfupi baada ya kuokoa penalti katika tukio ambalo limewaacha mashabiki vinywa wazi.

    KIFO Pict
  10. Simba kuwaaga Bocco, Mkude Simba Day

    Simba imefichua kuwa nahodha wake wa zamani, John Bocco ‘Adebayor’ amestaafu rasmi kucheza soka la ushindani na itamuaga katika siku ya kilele cha Tamasha la Simba Day, Septemba 10, 2025.

Previous

Page 517 of 898

Next