Barca yaachana na Rashford, Sancho akitemwa Man United BARCELONA imeripotiwa kusitisha mpango wa kumsajili Marcus Rashford na sasa mshambuliaji huyo wa England atarejea Manchester United baada ya kukataa kulipa ada ya takriban Pauni 26 milioni...
Rais Trump ndani fainali NBA KWA MARA ya kwanza rais Marekani aliye madarakani atakuwepo uwanjani kushuhudia mchezo wa tatu wa fainali ya Ligi ya Kikapu ya NBA kati ya New York Knicks dhidi ya San Antonio Spurs.
Victor Wembanyama alazimisha mechi saba NBA NYOTA wa San Antonio Spurs, Victor Wembanyama, amesema ari ya kupambana kama timu iliyokuwa ukingoni mwa kutolewa ndiyo siri ya ushindi mkubwa walioupata dhidi ya Oklahoma City Thunder na...
Wembanyama aipeleka Spurs fainali za NBA Nyota Victor Wembanyama alifunga pointi 22 huku San Antonio Spurs ikiibuka na ushindi wa 111-103 dhidi ya mabingwa watetezi Oklahoma City Thunder na kufuzu kwa fainali za NBA kwa mara ya kwanza...
Yanga yaitaka Azam FC Zanzibar katika vita ya ubingwa Mchezo ujao wa Yanga itakuwa ugenini Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha itakapokuwa mgeni wa Fountain Gate inayofundishwa na Fred Felix Minziro aliyewahi kuichezea Yanga nafasi ya beki wa...
Klose abariki Messi kuvunja rekodi yake SAA chache kabla ya Argentina kuanza kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026, mshambuliaji wa zamani wa Ujerumani na kinara wa mabao wa muda wote wa mashindano hayo, Miroslav Klose, ametoa kauli...
Siondoki! Bruno Fernandes amaliza utata Man United NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, ameripotiwa kufanya uamuzi wa mwisho kuhusu mustakabali wake kwa kuamua kubaki Old Trafford kwa angalau msimu mmoja zaidi licha ya kuendelea...
Mourinho adai hatamsahau Anthony Taylor KOCHA mpya wa Real Madrid, Jose Mourinho amesema bado hajasahau maumivu ya kupoteza fainali ya Europa League akiwa na Roma, akisisitiza kama angepewa nafasi ya kurudia mchezo mmoja katika maisha...
Ubelgiji yazima ndoto za Marekani, kuivaa Hispania robo fainali NDOTO za waandaaji wenza wa Kombe la Dunia 2026, Marekani zimezimwa mapema baada ya kuchapwa mabao 4-1 na Ubelgiji katika mechi ya hatua ya 16 bora iliyopigwa kwenye Uwanja wa Lumen Field mjini...
Arbeloa aula Fulham KLABU ya Fulham imemtangaza rasmi Alvaro Arbeloa kuwa kocha wake mpya kwa mkataba wa miaka mitatu, akichukua nafasi ya Marco Silva ambaye ameondoka kujiunga na Benfica ya Ureno.