PRIME Yanga yarusha kete kwa kocha Ahly YANGA inajiandaa kushuka uwanjani leo jioni kuvaana na Namungo ya Lindi, ikiwa ni mwendelezo wa mechi za Ligi Kuu Bara iliyoingia raundi ya 27, lakini ndani ya ofisi za mabosi wa klabu hiyo kuna...
Leverkusen kuzibania Bayern, City kwa Wirtz BOSI wa Bayer Leverkusen, Fernando Carro anaamini kuna nafasi ya asilimia 50 kwa kiungo wao wa kimataifa wa Ujerumani, Florian Wirtz mwenye umri wa miaka 22, kubakia katika kikosi hicho licha ya...
Mbappe avunja rekodi Real Madrid SUPASTAA, Kylian Mbappe hat-trick yake aliyoifunga kwenye El Clasico imemfanya avunje rekodi iliyokuwa imedumu kwa miaka 33.
Mbappe na rekodi ya kazi bure LICHA ya Real Madrid kupoteza mabao 4-3 kwa Barcelona katika pambano la El Clasico wikiendi iliyopita, lakini mchezaji wa timu hiyo, Kylian Mbappe ameweka rekodi ya klabu ambayo bila shaka...
Desabre amkumbuka Wan-Bissaka, kuzikabili Mali na Madagascar Aliyekuwa beki wa Manchester United na sasa West Ham United, Aaron Wan-Bissaka, ameitwa rasmi kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) kwa ajili ya mechi...
ALONSO: Dili la Madrid litakavyomtajirisha BAADA ya timu nyingi kuhitaji huduma yake katika dirisha la majira ya kiangazi mwaka jana na kuzikataa, Xabi Alonso anayeifundisha Bayer Leverkusen kwa sasa, anadaiwa kuwa katika makubaliano na...
Harry Kane afunguka, autaja ubingwa Bundesliga STRAIKA wa Bayen Munich, Harry Kane ambaye amenyanyua taji lake la kwanza katika soka la kiushindani wikiendi iliyopita baada ya Bayern kukabidhiwa kombe lao la Ligi Kuu England amesema taji...
Ronaldo, Al Nassr kizungumkuti HATMA ya Cristiano Ronaldo katika kikosi cha Al Nassr inadaiwa kuwa iko shakani baada ya mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya kusitishwa kwa muda.
Arteta: Hatujafanya vizuri msimu huu, tutasajili KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amefunguka kwamba timu yake itatumia fedha nyingi katika dirisha la majira ya kiangazi mwaka huu, akikiri walifahamu kuwa kikosi chao hakikuwa bora vyakutosha msimu...
Wafanyakazi Man United wanyimwa tiketi VIGOGO wa Manchester United wamekataa kutoa tiketi za bure kwa wafanyakazi wa klabu kwa ajili ya fainali ya Europa League ikiwa ni juhudi za tajiri wa timu hiyo Sir Jim Ratcliffe za kupunguza...