Straika Arsenal, Arteta kaanza kuchemka mapema Msimu wa 2024-25 kwa Arsenal tayari uARSENAL akili sasa ni kufanya usajili wa maana. Dirisha la usajili la majira ya kiangazi halina muda mrefu kufunguliwa na miamba hiyo ya London imeweka...
PRIME Sababu za mechi ya marudiano kupigwa Zenji TAARIFA mbaya kwa Simba ni Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeuondoa mechi ya marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na RS Bekrane kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa hadi...
PRIME Waarabu wataka mwingine Yanga WAARABU ni kama wamenogewa na mastaa wa Yanga. Wameanza na Stephane Aziz KI. Kiungo mshambuliaji huyo ametajwa kuwindwa na Wydad Casablanca mwishoni mwa msimu. Kisha Clement Mzize naye kutajwa...
Liverpool yaikazia Madrid kwa Alexander-Arnold INAELEZWA Liverpool wameshikilia msimamo wa kuhitaji Pauni 1 milioni kutoka Real Mªdrid ili kumwachia beki wao wa kimataifa wa England, Trent Alexander-Arnold, 26, kabla ya mkataba wake kumalizika.
Refa aliyekataa bao la Aziz Ki kwa Mamelodi, apewa Simba Zenji UNAMKUMBUKA yule mwamuzi aliyekataa bao la Stephane Aziz Ki dhidi ya Mamelodi Sundowns lililozua utata mkubwa hadi kwenda kuangaliwa kwenye VAR? Anaitwa Dahane Beida raia wa Mauritania, huyu...
Maresca bado yupo sana Chelsea TAARIFA za ndani kutoka Chelsea zimeweka wazi Kocha wa timu hiyo, Enzo Maresca ataendelea kuwepo msimu ujao hata kama matajiri hao wa Jiji la London watashindwa kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa...
England yapewa shavu kombe la dunia ENGLAND huenda ikaandaa Kombe la Dunia baada ya kusubiri kwa miaka 70, kutokana na kauli ya kiongozi wa juu wa Fifa kuhamasisha nchi hiyo kuwania uenyeji wa mashindano hayo.
CAF yadaiwa kuiondoa Simba, Berkane Kwa Mkapa TAARIFA mbaya kwa Simba ni kwamba, Shirikisho la Soka Afrika (CAF), imedaiwa kuwa, limeuondoa mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na RS Bekrane kupigwa Uwanja...
Man City kuvunja rekodi kwa Wirtz KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola afanya mazungumzo na kiungo mchezeshaji Florian Wirtz wakati miamba hiyo ya Etihad ikitaka kuweka rekodi ya kumnasa Mjerumani huyo kwa Pauni 126 milioni.
Rodrygo kuzua vita kali England STAA wa Kibrazili, Rodrygo yupo tayari kuachana na Real Madrid baada ya kuona anawekwa kando huku klabu hiyo ikionekana kuweka upendeleo kwa wachezaji Jude Bellingham na Kylian Mbappe.