Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8942 results for Mwandishi :

  1. Trump asema hajali Iran ikijitoa Kombe la Dunia 2026

    RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema hajali kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026 au la, ambalo litaandaliwa kwa pamoja na Marekani, Mexico na Canada wakati wa majira yajayo ya kiangazi.

  2. Aucho mambo safi Singida BS, rasmi arejea kazini

    UONGOZI wa Singida Black Stars, umetangaza kumsamehe kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho na kumrejesha kazini kuanzia leo Machi 5, 2026 baada ya kufanyika kwa majadiliano na tathmini ya kina...

    AUCHO Pict
  3. CRDB FA Cup: JKT, Mbuni, Geita Gold na Mashujaa kazini leo

    KUNA mechi mbili za Kombe la Shirikisho la CRDB (FA) hatua ya 16 bora zinachezwa leo Ijumaa ambapo JKT Tanzania itaikaribisha Mbuni kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar, wakati...

    FA Pict
  4. Daniel Dubois atwaa ubingwa wa WBO, wapinzani watano wakitajwa

    BONDIA Daniel Dubois amerejea kwa kishindo kwenye ramani ya ngumi za uzani wa juu duniani kufuatia ushindi mkubwa dhidi ya Fabio Wardley usiku wa kuamkia leo, pambano lililofanyika Co-op Live...

    MASUMBWI Pict
  5. Bila ‘VAR’ Arsenal, Chelsea, Liverpool zingeathirika zaidi msimu huu

    MBIO za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) zingekuwa na taswira tofauti msimu huu endapo kusingekuwa na teknolojia ya usaidizi wa video kwa marefa (VAR).

    VAR Pict
  6. Atletico yachefukwa kunyimwa penalti

    ATLETICO Madrid inadai kuchukizwa na kile kilichotokea katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Arsenal kufuatia kichapo cha bao 1-0 kilichoiondoa juzi kwenye...

  7. Skendo! Mastaa 70 Serie A wachunguzwa biashara ya ngono

    Mvutano mkubwa umetanda katika soka la Italia baada ya takribani wachezaji 70 wa Ligi Kuu Italia (Serie A) kuhusishwa na uchunguzi wa mtandao wa ukahaba unaodaiwa kuendeshwa katika Jiji la Milan,...

    SKENDO Pict
  8. Bruno kama Rooney miaka 10 iliyopita

    KIUNGO na nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes ameshinda kuwa Mchezaji Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezon England (FWA), ikiwa ni baada ya miaka 16 tangu...

  9. Rooney ampigia chapuo Keane Spurs

    KINACHOTAJWA kwa sasa huko England ni kwamba kibarua cha kocha wa muda wa Tottenham Hotspur, Igor Tudor kimeshikiliwa kwa nyuzi nyembamba ikidaiwa kwamba wakati wowote anaweza kutimuliwa kutokana...

  10. Malipo ya siri yaiponza Chelsea yafungiwa mwaka mmoja

    LIGI Kuu England imekamilisha uchunguzi juu ya malipo ya siri yaliyofanywa na Chelsea kati ya 2011 na 2018 wakati Roman Abramovich alipokuwa mmiliki wa klabu hiyo yenye maskani yake London.

Previous

Page 457 of 895

Next