Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8942 results for Mwandishi :

  1. Gary Neville ashangaa ujuzi wa Amorim

    GARY Neville amesema Ruben Amorim amechezesha kikosi cha ajabu sana cha Manchester United kuwahi kukiona wakati miamba hiyo ya Old Trafford ilipopambana kushinda 1-0 dhidi ya Newcastle United...

    NEVILLE Pict
  2. AFCON 2025: Gemu ya wakubwa!

    MSIMAMO wa Kundi F kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) unasoma, Ivory Coast, ambao ni mabingwa watetezi wanashika namba moja, pointi tatu baada ya mechi moja, wakifuatiwa na...

    AFCON Pict
  3. Ruben Amorim:  Kobbie Mainoo anatakiwa kupambana

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amemtaka kiungo wa timu hiyo Kobbie Mainoo kupigania nafasi yake ndani ya Manchester United kama walivyofanya magwiji wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo na...

    AMORIM Pict
  4. Ikanga Speed anatupia tu DR Congo

    UNAWEZA kusema winga Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ gari limewaka akiwa kwao DR Congo kufuatia kasi yake aliyonayo ya upachikaji mabao.

    IKNGA Pict
  5. Shaun Bartlett aihimiza Bafana Bafana kumaliza ukame wa miaka 30

    Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, Shaun Bartlett, ameonesha imani kubwa kuwa Bafana Bafana inaweza kumaliza ukame wa kusubiri kwa miaka 30 kutwaa ubingwa wa Kombe la...

    BARTLET Pict
  6. Achraf Hakimi wa nini, kuna Mazraoui

    BEKI wa kulia, Achraf Hakimi ameshindwa kucheza mechi ya kwanza ya Afcon 2025, lakini hilo la kukosekana kwake wala halikuwa pengo kwenye kikosi cha Morocco baada ya uwepo wa Noussair Mazraoui...

    HAKIMI Pict
  7. Staa wa Mali Afcon 2025 aivutia Man United

    MANCHESTER United imeripotiwa kuwa katika mazungumzo mazito na mshambuliaji anayeshiriki Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kuhusu uhamisho wa majira ya joto bila ya kulipa chochote.

    STAA Pict
  8. Amad Diallo amewasha moto Ivory Coast

    MASTAA wawili wa Manchester United, Amad Diallo na Bryan Mbeumo wamekumbana uwanjani jino kwa jino kwenye mashindano ya Afcon 2025 huko Morocco.

    AMAD Pict
  9. DR Congo yaipiga kidude Benin huko Morocco

    UKUTA wa Aaron Wan-Bissaka, Chancel Mbemba, Axel Tuanzebe na Arthur Masuaku ulikuwa kizingiti kikubwa kwa washambuliaji wa Benin kupenya na hivyo kusababisha timu yao kuchapwa bao 1-0 na DR Congo...

    DR CONGO Pict
  10. Ferguson aonya kitu Man United

    SIR Alex Ferguson amesema inaweza kuwachukua Manchester United miaka mingine 10 kabla ya kunyakua tena taji la Ligi Kuu England. Lakini, gwiji huyo wa Man United amemwangushia mzigo wote kocha...

Previous

Page 454 of 895

Next