Spurs kuitikisa Man United kwa Bryan Mbeumo KOCHA wa Brentford Thomas Frank, ambaye anatarajiwa kuchukua nafasi ya Ange Postecoglou kama kocha wa Tottenham, ameiambia timu hiyo kuwa anahitaji saini ya straika wa Brentford na timu ya taifa...
Mbappe amkataa Mo Salah STAA wa Real Madrid, Kylian Mbappe anaamini Mohamed Salah si miongoni mwa wachezaji wanaoweza kusumbua katika tuzo za Ballon d'Or ya mwaka huu na amemtaja ni mchezaji gani anampa nafasi ya kuchukua.
Arsenal 'kufungia mlango' wanne MKURUGENZI wa michezo wa Arsenal, Andrea Berta anataka kuwasainisha mikataba mipya nyota wanne wa timu hiyo baada ya kuanza na beki Gabriel Magalhaes aliyeongeza hadi mwaka 2029.
Al-Hilal, Osimhen kuna jambo KWA mujibu wa mwandishi wa habari wa Italia, Sacha Tavolieri ni kamba straika wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria, Victor Osimhen yuko karibu zaidi kukamilisha uhamisho wake wa kudumu...
Wirtz amaliza utata Liverpool WAKATI Bayer Leverkusen ikiendelea msimamo wake wa kuhitaji zaidi ya Pauni 125 milioni ili kumuuza staa wao Florian Wirtz kwenda Liverpool, ripoti zinaeleza staa huyo amewaambia mabosi kuwa...
Man United uhakika kwa Gyokeres MANCHESTER United wamepiga hatua kubwa katika mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres na kuna uwezekano wakaipiku Arsenal katika mbio za kumnasa raia huyo wa Sweden.
Kocha asababisha mpasuko Spurs TAARIFA za ndani kutoka Tottenham, zinaeleza wachezaji wa timu hiyo wamekasirishwa na kuondolewa kwa kocha wao Ange Postecoglou.
PRIME Kumekuchaa! Kisa Dabi viongozi Yanga waitwa TPLB WAKATI sintofahamu ikiendelea kutanda juu ya hatma ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo, viongozi wa juu wa Yanga wameitwa makao makuu ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB).
Mtiti Kombe la Dunia la Klabu ngoja tuone! MICHUANO ya Kombe la Dunia kwa klabu mwaka huu itahusisha timu nyingi zaidi kwa mara ya kwanza ikiwa ni mfumo mpya wa mashindano hayo.
PRIME Siku saba za maajabu Dabi ya Kariakoo DABI ya Kariakoo bado ina kipengele. Hakuna anayejua kama itapigwa au la hiyo Juni 15. Hii ni kwa sababu ya msimamo wa Yanga juu ya kuisusia mechi hiyo ambayo awali ilikuwa ipigwe Machi 8.