PRIME Kwa Yanga hili wala sio la kwanza ALHAMISI iliyopita, Juni 5, waliojitambulisha kama wazee wa Yanga, walijitokeza na kusisitiza timu yao haitocheza mechi ya Juni 15 dhidi ya Simba hadi baadhi ya viongozi wa Bodi ya Ligi Kuu Bara...
Refa wa kwanza mweusi EPL, Uriah Rennie afariki dunia Mwamuzi wa kwanza mwenye asili la Afrika aliyechezesha Ligi Kuu ya England (EPL), Uriah Rennie, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65.
Grealish anaondoka Man City na kibunda chake KUNA stori zinasambaa huenda nyota wa Manchester City, Jack Grealish akapewa mkono wa kwaheri na miamba hiyo baada ya kudumu kwa takriban miaka minne.
Manchester United kutumia akili kubwa kwenye usajili NDIYO. Manchester United haina presha kwenye masuala ya usajili kuhusu pesa na inatarajia kutumia pesa za mauzo ya mastaa wake kushusha vyuma vipya klabuni hapo.
Tuchel abariki mastaa England kuzomewa KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel aliwakosoa vikali wachezaji wake kwa ‘kuchezea moto’ katika ushindi mwembamba kwenye mechi ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Andorra usiku wa...
Ronaldo aendeleza moto, Ureno ikiweka rekodi mpya Mabingwa hao wameongeza taji la tatu la kimataifa kwenye kabati lao, ikiwa ni pamoja na ubingwa wa EURO 2016.
Chelsea, Gittens bado kidogo CHELSEA imefikia hatua nzuri ya kumsajili nyota wa Borussia Dortmund, Jamie Gittens ambaye atakuwa mchezaji wao wa tano dirisha hili la usajili la majira ya kiangazi, ikiwa ni katika harakati za...
Huu hapa mzigo wa Afrika Kombe la Dunia la Klabu WANASEMA nyumbani kwanza. Licha ya utitiri wa mastaa watakaokuwepo Marekani na timu mbalimbali kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu, mashabiki wengi kutoka Afrika watakuwa na hamu ya...
PRIME Hoja sita kuamua Dabi ya Kariakoo WAKATI sintofahamu ikiendelea kutanda juu ya hatma ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo, viongozi wa Yanga wameitwa makao makuu ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB).
PRIME Siri imefichuka… Kilichombakisha Diarra hiki hapa YANGA ina uhakika sasa wa kuendelea kuwa na kipa namba moja wa kikosi hicho, Djigui Diarra baada ya mwenyewe kufanya uamuzi wa kubaki ndani ya timu hiyo.