Manchester United yatema kibao MANCHESTER United imethibitisha itawatema mastaa wake Christian Eriksen, Jonny Evans na Victor Lindelof kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi baada ya mikataba yao kumalizika.
He! Mabosi Sporting wamtibua Gyokeres STRAIKA wa mabao, Viktor Gyokeres ameripotiwa kuwakasirikia mabosi wa Sporting Lisbon baada ya kufanya mabadiliko kwenye kipengele kinachotaja bei anayouzwa mshambuliaji huyo.
PRIME Zamalek washusha mzigo Yanga NDANI ya wiki chache zijazo, mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize ataweka rekodi mbili kwenye soka la Tanzania endapo dili lake la kucheza nje litakwenda kama lilivyopangwa.
Luka Modric afungua milango kutua AC Milan AC Milan imepokea taarifa muhimu kutoka kwa kiungo veterani Luka Modric kwamba milango wazi kwenda kujiunga na miamba hiyo ya Italia.
Ten Hag amtaka Grealish pale kwa Wirtz STAA ghali Manchester City, Jack Grealish ameripotiwa kuwekwa kwenye orodha ya wachezaji ambao wanaweza kunaswa ili wakachukue mikoba ya Florian Wirtz huko Bayer Leverkusen.
Yanga yaibuka tena “hatujapewa fedha za ubingwa kwa misimu mitatu” Baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutoka hadharani na kuijibu Yanga kuhusu madeni inayowadai, klabu hiyo imeibuka tena.
TFF yajibu tuhuma, yaithibitisha kuidai Yanga Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepinga madai kuwa linadaiwa na Yanga, fedha za zawadi ya ubingwa ya mashindano ya Kombe la Shieikisho la CRDB msimu uliopita na badala yake limesema...
Kiboko ya Yamal, halafu haringi ANAJUA boli, halafu wala haringi. Mshindi wa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya na supastaa wa mataji matatu makubwa kwa msimu uliopita, ametamba alimzima mmoja wa wachezaji wenye vipaji vikubwa...
Nahodha APR atajwa Azam TAARIFA kutoka Rwanda zinabainisha nahodha wa kikosi cha APR FC, Claude Niyomugabo anatakiwa na Azam FC kwa ajili ya msimu ujao.
Wadhamini Kombe la FA watoka hadharani kujibu madai ya Yanga Yanga ilitwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) msimu wa 2023/2024 baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penalti 6-5 dhidi ya Azam kwenye fainali iliyochezwa Uwanja wa New Amaan Complex...