Diogo Dalot afichua kinachoikwamisha Man United Beki wa pembeni wa Man United, Diogo Dalot ameonyesha kukerwa na kitendo cha timu hiyo kushindwa kulinda bao la kuongoza walilolipata dhidi ya West Ham United, iliyolazimisha sare ya 1-1 kwenye...
Kocha mpya Cameroon awatema Onana, Vincent Aboubakar Kipa Andre Onana ameachwa kwenye orodha ya wachezaji wanaounda kikosi cha Cameroon kitakachoshiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) zitakazoanza Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026...
Mastaa mtegoni, Gamondi akiita 53 Taifa Stars Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', ametangaza kikosi cha awali cha wachezaji 53 kwa ajili ya kuanza maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, uteuzi...
Mashabiki wataka tiketi Kombe la Dunia 2026 zisiuzwe tena MASHABIKI wa soka wenye hasira wametaka uuzaji wa tiketi za Kombe la Dunia 2026 usitishwe mara moja kutokana na bei za kinyonyaji.
Mbappe aingia kundi la wababe Madrid SUPASTAA Kylian Mbappe amefanya jambo ambalo ni wachezaji watatu tu katika historia ya Real Madrid waliowahi kulifanya, rekodi safi.
Kocha Crystal Palace awachana matajiri KOCHA wa Crystal Palace, Oliver Glasner amesema viongozi wa timu hiyo wamewatelekeza yeye pamoja na wachezaji hali inayoendelea kuzorotesha kiwango cha timu kila siku.
Man United ya Carrick yaichapa Man City 2-0 MICHAEL Carrick aliwahi kusema bado kuna “uchawi” ndani ya Manchester United.
Chelsea yamtangaza kocha mpya Rosenior LIAM ROSENIOR ametangazwa rasmi kocha mkuu mpya wa Chelsea chini ya uongozi wa bilionea Todd Boehly na washirika wake.
Bayern yakwaa kisiki, Augsburg yaitibulia BAADA ya Bayern Munich kucheza mechi 27 mfululizo bila kupoteza katika Bundesliga, rekodi hiyo imefikia mwisho wa ghafla jioni hii ya Jumamosi baada ya Augsburg, waliokuwa wakihangaika, kupata...