Robert Matano: Ligi ya Tanzania unachoka kabla ya mechi UNAMKUMBUKA Kocha Robert Matano aliyeinoa Fountain Gate msimu uliopita? Sasa baada ya kuachana na timu hiyo amerejea nyumbani kwao Kenya na kutua KCB huku matumaini yakiwa ni kuipa taji la kwanza...
Kocha Tusker aomba utulivu, aahidi kufanya makubwa Kocha mkuu wa Tusker FC, Charles Okere, ameomba mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu baada ya kuwa na mwanzo mbaya kwenye Ligi Kuu ya Kenya, kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya Shabana FC kwenye Uwanja...
PRIME Hersi, Arafat waachiwa msala hatima ya Folz Yanga PRESHA iliyopo ndani ya Yanga hivi sasa, inamfanya kocha mkuu wa kikosi hicho, Romain Folz kusikilizia hatima yake ndani ya timu hiyo. Hali hiyo imekuja kufuatia kundi kubwa la mashabiki...
Afrika yatikisa Kombe la Dunia U20 Timu tatu kati ya nne za Afrika zimefanikiwa kutinga hatua ya 16 ya Fainali za Kombe la Dunia la Vijana Chini ya Umri wa miaka 20 zinazoendelea nchini Chile.
Staa Mexico atuhumiwa kwa unyanyasaji kingono Mchezaji wa zamani wa Chivas de Guadalajara, Omar Bravo, amekamatwa Jumamosi Oktoba 4, 2025 kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono dhidi ya mtoto wa kike ambaye hakutajwa jina, kama...
Guardiola kuwakutanisha mezani Ferguson, Wenger Kufikisha ushindi wa 250 katika Ligi Kuu England ni mafanikio makubwa yanayohitaji aina maalum ya sherehe. Kupitia hilo, Pep Guardiola amepanga kuwakutanisha Sir Alex Ferguson na Arsene Wenger...
Messi aweka rekodi mpya Marekani Lionel Messi anaendelea kuthibitisha kuwa mchango wake katika Ligi Kuu ya Soka Marekani (MLS) hauna kifani. Katika mchezo dhidi ya New England Revolution, nahodha huyo wa Inter Miami alitoa...
Pep Guardiola amaliza utata ishu ya Erling Haaland KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amezima uvumi unaomhusisha Erling Haaland na kuhamia Barcelona, akisisitiza kuwa mshambuliaji huyo “sio mjing ” kiasi cha kutaka kuondoka Manchester City...
Utani wamponza staa Chelsea MASHABIKI wa Chelsea walikasirishwa sana na kitendo cha mchezaji wao Jorrel Hato kuonekana akimfanyia utani kwa kumrukia staa wao mwingine Cole Palmer ambaye kwa sasa yupo nje kutokana na majeraha.
MAGIC: Fundi mwingine anayetajirika baada ya kustaafu KATIKA mpira wa kikapu kwa sasa, wachezaji ambao wanaongoza kwa utajiri kijumla sio wale wanaocheza bali waliostaafu tena zamani.