Donnarumma Manchester United, mikono salama HABARI ndo hiyo. Manchester United inapiga hesabu kali za kumnasa kipa kiboko kwa kudaka, Gianluigi Donnarumma baada ya klabu yake ya Paris Saint-Germain kukubali ofa ya Pauni 34.9 milioni ya...
Klabu za England zashindana matumizi LIVERPOOL pengine imetumia mkwanja mrefu kwenye usajili wa majira ya kiangazi, ikitumia zaidi ya Pauni 250 milioni, lakini Arsenal ndiyo timu iliyotumia pesa ndefu rasmi hadi sasa kwenye dirisha...
Lijendi kasema...hawatoboi LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher amesema licha ya kutumia Pauni 250 milioni katika usajili wa dirisha hili, haioni Chelsea ikichukua ubingwa wa Ligi Kuu England msimu ujao.
Nani abaki, aondoke Arsenal BAADA ya kushuhudia majeruhi wakitibua mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu, Arsenal inaweza kuchukua uamuzi wa kupangua kikosi kwa kuondoa baadhi ya mastaa na kuleta wengine wapya...
PRIME Che Malone ashtua Simba SIMBA inashuka uwanjani leo kumalizana na Dodoma Jiji katika mchezo wa kiporo cha Ligi Kuu Bara, lakini ndani ya kambi ya Wekundu wa Msimbazi, kuna taarifa inayoshtua juu ya beki wa kati Che...
No Champions League, no Gyokeres Man United HABARI ndo hiyo. Manchester United ipo kwenye hatari ya kukosa huduma ya straika Viktor Gyokeres kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi baada ya mkali huyo kutaka dili la kwenda...
Josiah, TZ Prisons lolote litatokea KIPIGO cha mabao 4-0 walichokumbana nacho Tanzania Prisons kutoka kwa Azam FC, huenda kikaondoka na kichwa cha mtu kufuatia mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha kwa maafande hao.
Mawinga wanne ubaoni Barcelona SUPASTAA, Marcus Rashford ni moja ya mawinga wanne wanaotajwa kuwa kwenye rada za Barcelona inaowasaka kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi.
Ronaldo hafikirii kuondoka Al Nassr SUPASTAA Cristiano Ronaldo amefunguka juu ya hatima ya soka lake baada ya Ureno kunyakua taji la Nations League usiku wa kuamkia Jumatatu.
Sio kinyonge… Wasanii hawa watanogesha Marekani IKIWA imebakia wiki moja kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia kwa klabu, tayari orodha ya wasanii watakaotumbuiza katika sherehe za ufunguzi wameshatangazwa.