Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8888 results for Mwandishi :

  1. Rodrygo afichua kilichombakisha Real Madrid

    Nyota wa Real Madrid, Rodrygo, amefichua mazungumzo aliyofanya na kocha Xabi Alonso kufuatia hatima yake klabuni hapo wakati wa majira ya kiangazi na kuamua kubaki.

    RODRYGO Pict
  2. Kocha wa ndondi atamani kumsaidia Cristiano Ronaldo kiakili

    Kocha wa masumbwi, Malik Scott, ameweka wazi namna anavyoweza kumsaidia mshambuliaji wa Al Nassr ya Saudi Arabia na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, kuboresha hali yake ya kiakili...

    RONALDO Pict
  3. Osimhen aweka rekodi ya mabao Galatasaray ikiichapa Bodo/Glimt

    Victor Osimhen amefunga mabao mawili na kusaidia lingine wakati Galatasaray ikiendeleza mwenendo mzuri kwa kupata ushindi wa pili mfululizo kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bodo/Glimt...

  4. Rekodi mbili zawekwa Bayern ikiikanda Clube Brugge

    Kuna rekodi mbili zimewekwa katika mechi ambayo Bayern Munich imeikanda Club Brugge mabao 4-0 iliyofanyika Allianz Arena, Ujerumani usiku wa Oktoba 22, 2025.

  5. Chelsea yapata dawa ya kadi nyekundu

    BAADA ya hali ya kuonyeshwa kwa kadi nyekundu kwa wachezaji wa Chelsea kukithiri, kocha wa timu hiyo, Enzo Maresca amefichua wachezaji wa klabu hiyo wameweka utaratibu wa kujitoza faini wao kwa...

    CHELSEA Pict
  6. Ronaldo: Man United kwa Amorim msitegemee miujiza

    Cristiano Ronaldo amesema kwamba meneja wa Manchester United, Ruben Amorim, hawezi kufanya miujiza na kwamba klabu hiyo haipo kwenye njia sahihi.

  7. Van de Ven afunga bao la ajabu Spurs ikipiga mtu nne

    Tottenham wakiwa na wachezaji 10, wametoa burudani kwenye Ligi ya Mabingwa, sambamba na kufunga bao la kushangaza kutoka kwa beki wa kati Micky van de Ven, walipowacharaza Copenhagen na...

  8. Achraf Hakimi ajiweka njia panda AFCON 2025

    Nahodha na beki wa pembeni wa timu ya taifa ya Morocco, Achraf Hakimi, yupo njia panda kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) zitakazofanyika nchini kwao, baada ya kuumia...

    HAKIMI Pict
  9. Man Utd mpo? Haaland ana meseji yenu huko!

    STRAIKA Erling Haaland atuma ujumbe mzito kwa Manchester United kwa ajili ya kipute cha Manchester derby Jumapili baada ya kufunga mabao matano wakati Norway ilipoangusha kipigo kizito kwa...

    HAALAND Pict
  10. Amorim achekelea kuondoka Onana

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim anaamini kuondoka kwa kipa Andre Onana ni jambo muhimu sana katika mchakato wake wa kujenga upya kikosi.

Previous

Page 428 of 889

Next