Ngoma ngumu shtaka moja la Diddy MAHAKAMA ya New York, Marekani imeanza kusikiliza kesi inayomkabili mwanamuziki nyota, Sean 'Diddy' Combs, huku jopo la baraza la mahakama likifikia uamuzi kuhusu mashtaka manne kati ya matano...
Mastaa wa soka wenye mivinyo inayotesa sokoni Ulaya SOKA limejaa kumbukumbu nyingi, tamu na chungu. Na kwenye hilo, moja linaweza kuwasukuma wanasoka kufanya kitu ambacho wanaamini kitabaki kwenye kumbukumbu njema kwa mashabiki.
Messi atajwatajwa Ligi Kuu England NDOTO za supastaa, Lionel Messi kucheza Kombe la Dunia 2026 akiwa kwenye viwango bora kabisa linaweza kumsukuma kwenda kucheza soka kwenye Ligi Kuu England akiwa na umri wa miaka 38.
Wema Sepetu apotezea ishu ya fomu, akomaa na Whozu IKIWA mashabiki wengi wa burudani na mitindo wakmsubiri aende kuchukua fomu ya kuwania kuomba uteuzi wa chama cha siasa kwa ajili ya kuwa mwakilishi wa wananchi kama walivyofanya baadhi ya...
Aston Villa yamtosa jumla Rashford ASTON Villa imethibitisha kwamba hatamsajili jumla winga wa Manchester United, Marcus Rashford.
PRIME Hizi ndizo kanda zenye ushawishi TFF JANA katika mfululizo wa makala maalumu za Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) utakaofanyika Agosti 16 jijini Tanga ilielezwa ukweli juu ya wapigakura wa uchaguzi huo.
Morice mikononi mwa mabosi wa Simba KLABU ya Simba imetoa mapumziko kwa wachezaji wake, lakini kabla ya kurejea na kuanza maandalizi ya msimu mpya, jambo moja kubwa linaendelea chini kwa chini katika suala la usajili.
Paul Pogba kuvaa namba 8 Monaco KIUNGO supastaa, Paul Pogba amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na AS Monaco, ambako atavaa jezi yenye Namba 8 mgongoni, imeelezwa.
Watkins atua anga za Man United, dau latajwa MSHAMBULIAJI wa Aston Villa, Ollie Watkins, mwenye umri wa miaka 29, yupo kwenye orodha ya mastaa ambao Manchester United imepanga kuwasajiliwa katika dirisha hili ikiwa mshambuliaji wa...
Liverpool yahamia kwa Osimhen LIVERPOOL imemwongeza Victor Osimhen kwenye orodha ya mastraika inaowasaka kwa ajili ya kuwaongeza kwenye kikosi msimu huu sambamba na Alexander Isak na Hugo Ekitike.