PRIME Azam FC ilivyozipiku Simba, Real Valladolid kwa Lameck Lawi NAHODHA wa timu ya Taifa chini ya miaka 20, Lameck Lawi amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC akitokea Coastal Union. Hata hivyo, uhamisho wake haukuwa tambarare hata...
Luis Enrique afunguka kumchapa Joao Pedro KOCHA wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique ameelezea kwa nini amemchapa kibao Joao Pedro kwenye vurugu zilizotokea baada ya Chelsea kushinda taji la Klabu Bingwa Dunia kwa kuifunga miamba hiyo ya...
Shujaa wa Chelsea ashangazwa na Trump SHUJAA wa Chelsea, Cole Palmer, amefunguka kuhusu kitendo kilichowashangaza wengi kutokana na uwepo wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wakati wakisherehekea kutwaa Kombe la Dunia la Klabu, jana...
Palmer afanya yake, Chelsea ikitwaa Kombe la Dunia la Klabu Cole Palmer amekuwa shujaa wa Chelsea baada ya kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya PSG katika mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia la Klabu uliochezwa kwenye Uwanja wa...
Kumbe Paul Pogba bado pesa ipo LICHA ya kukumbwa na kashfa nzito za kufungiwa kucheza soka kwa muda wa miaka minne na baadaye adhabu hiyo kupunguzwa kufikia miezi 18, kutokana na matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku (doping),...
PRIME Sibayon kupishana na Mukwala Simba KOCHA Enzo Maresca na vijana wake wa Chelsea wameandika historia mpya baada ya kuibuka mabingwa wa kwanza wa mfumo mpya mashindano ya fainali za Kombe la Dunia la Klabu kwa kuichapa Paris Saint...
Ngoma imehama… Burudani sasa ipo huku BAADA ya kumalizika kwa burudani ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu sasa, macho na masikio yanageuziwa katika mechi za maandalizi ya msimu ya timu mbalimbali kubwa duniani.
Kisa Arsenal, Gyokeres kupewa adhabu mbili RAIS wa Sporting Lisbon, Frederico Varandas, amethibitisha kuwa mshambuliaji wa timu hiyo Viktor Gyokeres atapewa adhabu mbili kubwa baada ya kugoma kuripoti mazoezini akishinikiza aruhusiwe...
Chelsea yatua kwa Gianluigi Donnarumma KUTOKANA na kiwango kibovu alichoonyesha kipa wao Roberto Sanchez, kocha wa Chelsea amewasilisha jina la kipa wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Italia, Gianluigi Donnarumma, akihitaji...
Ruben Amorim sasa achanganyikiwa KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim kichwa kinauma. Katika dirisha hili Mreno huyo alikuwa na mpango wa kujenga upya kikosi chao kwa kusajili maeneo muhimu kama ushambuliaji, mabeki na...