Madrid, Liverpool yafungua mazungumzo dili la Rodrygo GALATASARAY imetuma ofa nyingine kwenda Napoli ambayo inaeleza imekubali kulipa Euro 75 milioni kwa ajili ya kumsajili straika wa timu hiyo na Nigeria, Victor Osimhen katika dirisha hili.
Mbeumo kupewa jezi anayoipenda STAA, Bryan Mbeumo anatarajia kwenda kukabidhiwa jezi Namba 19 atakapojiunga na Manchester United, kutokana na namba huyo kuwa wazi huko Old Trafford.
PRIME Yanga yatumia mbinu za kimafia, yamshusha Conte ILE vita ya kuwania kiungo Moussa Bala Conte kutoka Guinea, imeisha baada ya Yanga kumtambulisha rasmi leo mchana ikiizidi kete Simba iliyoanza mapema kumtamani mchezaji huyo. Iko hivi.
Man United, Brentford zakubaliana kwa Mbeumo MANCHESTER United imefikia makubaliano na Brentford dili la kumsajili Bryan Mbeumo baada ya mazungumzo ya zaidi ya mwezi mmoja.
Gyokeres aaanza kuhamisha vitu ARSENAL ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha dili la Pauni 69 milioni la kumsajili straika Viktor Gyokeres baada ya gari la kuhamisha vyombo kuonekana mbele ya nyumba ya staa huyo huko...
Lamine Yamal apewa namba 10 LAMINE Yamal amekabidhiwa jezi Namba 10 baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka sita kwenye klabu ya Barcelona licha ya kukabiliwa na kasheshe la kuajiri mbilikimo kwenda kutumbuiza sherehe za...
Mipango ya Barca kurudi Nou Camp yavurugika MABINGWA watetezi wa La Liga, Barcelona wako tayari kufuta mpango wao wa kurudi kwenye Uwanja wa Spotify Camp Nou kwa ajili ya mechi ya Joan Gamper Trophy dhidi ya Como mwezi ujao kutokana na...
Duh! Rashford asiende Barcelona GWIJI wa zamani wa Manchester United, Teddy Sheringham amedai kuwa mshambuliaji wa timu hiyo Marcus Rashford “hastahili” kupata uhamisho wa majira haya ya kiangazi kwenda Barcelona.
Mashabiki Sporting wamgeukia Gyokeres MASHABIKI wa Sporting Lisbon wamepaza sauti zao kuhusiana na mshambuliaji wa timu hiyo, Viktor Gyokeres, ambaye anahusishwa kutaka kuondoka katika dirisha hili.
Real Madrid yapanga kumuuza Vinicius Jr REAL Madrid imempanga kumuuza mshambuliaji wao wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Jr, katika dirisha hili ikiwa ataendelea kugoma kuongeza mkataba mpya katika dirisha hili.