Kumbe kipa Grimsby imemuuma sana KIPA wa Grimsby Town, Christy Pym amewashangaza mashabiki kwa namna alivyokuwa akishangilia baada ya kuitupa nje Manchester United kwenye Kombe la Ligi, lakini kumbe jambo hilo limemuuma sana.
Kagame Cup 2025 zawekwa Sh 814 Milioni ZAIDI ya Sh 800 Milioni zimewekwa katika michuano ya Kombe la Kagame 2025 inayotarajiwa kuanza kupigwa Septemba 2-15 kupitia mdhamini mpya aliyetangazwa asubuhi ya leo Alhamisi jijini Nairobi.
Man United kunafukuta! Amorim achokwa RUBEN Amorim amewatibua mashabiki wa Manchester United na hivyo wanataka mabosi wa timu hiyo kumfuta kazi baada ya aibu ya kutupwa nje kwenye Kombe la Ligi na timu ndogo ya Grimsby.
Droo ya Mabingwa Ulaya presha kubwa Arsenal DROO ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itapangwa leo Alhamisi, Agosti 28, huku Arsenal ikiripotiwa kuwa hatarini kupangiwa timu ngumu.
FILBERT BAYI: Miaka 51 rekodi yake bado inaishi KWA sasa ni miaka 51 tangu mwanariadha nyota wa kimataifa wa Tanzania, Filbert Bayi alipoipatia rekodi ya kwanza na ya pekee ya dunia katika riadha. Nimeona nizungumzie habari za Bayi na...
Penalti ya Bruno yaanzisha mjadala MJADALA umeibuka huko Manchester United kuhusu chaguo la mchezaji wa kupiga penalti za timu hiyo zitakazopatikana kwenye mechi zao.
Man United v Newcastle… hii mechi imeshtua! NI kasheshe, unaweza kusema hivyo. Hii ni baada ya aliyekuwa mkuu wa waamuzi wa kulipwa kwenye Ligi Kuu England, Keith Hackett, kusema mechi ya Liverpool ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Newcastle...
Tatu zapigana vikumbo kwa Manuel Akanji BAYER Leverkusen na Galatasaray zinataka kuingia katika vita dhidi ya Crystal Palace kwa ajili ya kumsajili beki wa kati wa Manchester City, Manuel Akanji, 30, katika dirisha hili.
Van Dijk aonya gemu ya Arsenal BEKI wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk amewaonya wachezaji wenzake kwenye kikosi hicho kwamba wanapaswa kukaza buti kama kweli wanataka kutetea taji la Ligi Kuu England msimu huu.
Madrid yataka saini ya Mainoo REAL Madrid imeripotiwa kuingia kwenye mbio za kunasa huduma ya kiungo anayetaka kuachana na Manchester United, Kobbie Mainoo.