Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8572 results for Mwandishi Wetu :

  1. Liverpool yapanda dau kwa Alexander Isak, mambo yako hivi

    LIVERPOOL inajiandaa kutoa ofa ya Pauni 130 milioni kwenda Newcastle United kwa ajili ya kumsajili straika wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Sweden Alexander Isak, 25, katika dirisha hili.

  2. Xavi Simons katua Spurs

    HATIMAYE, Xavi Simons amekamilisha uhamisho wake wa kutua kwenye Ligi Kuu England.

  3. Hebu sikieni kocha Amorim anachosema

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amekiri kwamba hafahamu kama ataendelea kuwa kocha wa timu hiyo, lakini mwenyewe amesisitiza hana mpango wa kung’atuka.

  4. Kwa hizi rekodi NBA tema mate chini

    KILA msimu mpya wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) huibua mjadala kuhusu nani ataibuka na kuwa gumzo, timu ipi itatawala na rekodi zipi zitavunjwa.

  5. Kufukuzwa kazi kumempa Mourinho Sh337 bilioni

    KOCHA Mreno, Jose Mourinho yuko karibu kufikisha Pauni 100 (takriban Sh337 bilioni) kama malipo ya fidia ya kufukuzwa kazi tangu aanze maisha ya ukocha.

  6. Gwiji kasema... Kuna mtu anapigwa!

    LONDON, ENGLAND: MCHAKAMCHAKA wa Ligi Kuu England unarudi wikiendi hii, ambapo kivumbi cha maana kitakuwa huko Anfield, wakati Liverpool itakapojimwaga nyumbani kukabiliana na Arsenal. Mechi...

    GWIJI Pict
  7. Infantino, Motsepe watua Kenya kushuhudia fainali ya CHAN 2024

    Rais wa Shirikisho la Soka duniani (FIFA) Gianni Infantino akiambatana na Rais wa Shirirkisho la Soka Africa (CAF) Patrice Motsepe wamewasili Kenya kwaajili ya fainali ya CHAN 2024 kati ya...

  8. Duh! Eti avuliwe Odegaard avae Rice

    STAA wa zamani wa Arsenal, Anders Limpar ameungana na gwiji wa klabu hiyo, Tony Adams kutaka kiungo Martin Odegaard avuliwe kitambaa cha unahodha wa klabu hiyo.

    ODE Pict
  9. Droo Mabingwa Ulaya yadaiwa ni mchongo

    BAADHI ya mashabiki wa klabu za Ligi Kuu England wanaamini droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ni kama kuna upangaji wa matokeo baada ya kuhusisha wachezaji kwenda kumenyana na timu zao za zamani...

    UEFA Pict
  10. Old Trafford hali si shwari… Kuna kikao wiki ijayo!

    KOCHA Ruben Amorim atakuwa na kikao kizito cha mazungumzo na mabosi wa Manchester United wiki ijayo baada ya kibarua chake huko Old Trafford kuwa kwenye majanga makubwa.

    KIKAO Pict
Previous

Page 406 of 858

Next