Simulizi ya wamachinga viwanja vya soka Afrika KILA nikifika Dar es Salaam, Tanga au Morogoro hujaribu kukutana na wachezaji wa kandanda niliokuwa nao kuanzia mwisho wa miaka ya 1960 hadi katikati ya miaka ya 1980.
Oxlade-Chamberlain bado kidogo asepe zake huko STAA, Alex Oxlade-Chamberlain yupo kwenye hatua za mwisho za kuachana na Besiktas ya Uturuki.
Klabu za England zashindana matumizi LIVERPOOL pengine imetumia mkwanja mrefu kwenye usajili wa majira ya kiangazi, ikitumia zaidi ya Pauni 250 milioni, lakini Arsenal ndiyo timu iliyotumia pesa ndefu rasmi hadi sasa kwenye dirisha...
Vigogo EPL wamiminika kuwania saini Garnacho BAADA ya Chelsea kutajwa hivi karibuni, Tottenham Hotspur na Aston Villa pia zimeingia katika vita ya kuwania saini ya winga wa Manchester United na timu ya taifa ya Argentina, Alejandro...
Uhondo wa CHAN upo Nairobi UHONDO wa fainali za CHAN 2024 unaendelea leo kwa mechi mbili za Kundi A, mapema jioni DR Congo itavaana na Zambia kabla ya wenyeji Kenya kumalizana na Angola, mechi zote zikipigwa jijini Nairobi.
Viktor Gyokeres apeleka kicheko Emirates Stadium ARSENAL inaamini kwamba hatimaye imempata straika wa ndoto yao kwa ajili ya kuongoza safu yao ya ushambuliaji kwa miaka kadhaa mbele baada ya kumsajili mkali wa kimataifa wa Sweden, Viktor...
Taifa Stars ina ‘sapraizi’ yenu ACHANA na matokeo ya mechi ya jana usiku wakati Taifa Stars ikimalizana na Mauritania katika mechi ya pili ya Kundi B la michuano ya CHAN 2024, timu hiyo ya taifa ina sapraizi kwa mashabiki wa...
PRIME Tshabalala apewa mkataba wa kishua BEKI Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ ametambulishwa usiku wa juzi akiwa mmoja ya nyota wapya wa Yanga akitokea Simba, lakini saini ya mkataba uliomfanya avae uzi wa Jangwani si mchezo kutokana...
Newcastle yakubali yaishe, yamgeukia Nicolas Jackson MABOSI wa Newcastle United imepanga kumgeukia mshambuliaji wa Chelsea na timu ya taifa ya Senegal, Nicolas Jackson, mwenye umri wa miaka 24, baada ya kuona Manchester United ina nafasi kubwa...
Lookman agomea mazoezi Atalanta WINGA, Ademola Lookman ameripotiwa kugomea mazoezi huko Atalanta ikiwa ni harakati zake za kulazimisha uhamisho wa kuachana na timu hiyo.