Watano Liverpool nje Carabao Cup KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amewataja wachezaji watano ambao hawataonekana katika mechi ya raundi ya tatu ya Kombe la Carabao dhidi ya Southampton leo, Jumanne
Shughuli ya Carabao Cup kuendelea leo BAADA ya mechi za raundi ya tatu za michuano ya Kombe la Carabao kuanza wiki iliyopita, vigogo wawili wa timu sita kubwa za England zitashuka dimbani leo katika mechi za raundi hiyo zitakazopigwa...
Keane: Pep Guardiola acha kujitetea JUZI Jumapili usiku, Machester City ilitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu England, huku Kocha Pep Guardiola akijitetea ratiba na uchovu vimesababisha matokeo...
Kuondoka Fadlu Simba iwe funzo TATIZO kubwa kwa timu za Tanzania, hasa Simba na Yanga hivi sasa ni kupoteza makocha au wachezaji nyota kutokana na kuvutwa na klabu zenye nguvu kubwa ya kifedha za Afrika Kaskazini. Hali hii si...
Ousmane Dembele atwaa tuzo ya Ballon d'Or 2025 BAADA ya maswali ya muda mrefu juu ya nani atashinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu, hatimaye majibu yamepatikana na staa wa Paris Saint-Germain, Ousmane Dembele ameshinda tuzo hiyo.
Mike Maignan bado anasakwa Stamford Bridge KIPA wa AC Milan na timu ya taifa ya na Ufaransa, Mike Maignan mwenye umri wa miaka 30 anaweza kuingia tena katika ajenda ya usajili ya Chelsea dirisha lijalo la majira ya baridi.
Arteta, Arsenal picha linaendelea ARSENAL imecheza mechi ya tano Ligi Kuu England, imeshinda tatu sare moja na kufungwa moja na katika msimamo ipo katika nafasi ya pili. Ina utofauti wa alama tano dhidi ya vinara Liverpool.
Arteta azidi kumtetea Gyokeres BAADA ya Victor Gyokeres kuonyesha kiwango cha chini katika mchezo mgumu wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester City, Kocha wa miamba hiyo ya London amemtetea, huku akiitaka timu kuendelea...
Fadlu atambulishwa Raja Club Athletic, Simba yamshukuru Klabu ya Raja Club Athletic imetangaza kufanya mabadiliko katika benchi lake la ufundi.
Ya Manchester United, yamkuta Rashford Barca NYOTA wa Barcelona, Marcus Rashford yamemkuta kama yaliyotokea akiwa na kikosi cha Manchester United kwa kupewa adhabu ndogo ya kukaa benchi na kucheza kipindi kimoja kwa kosa la kuchelewa kikao...