Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8553 results for Mwandishi Wetu :

  1. Steven Gerrard afichua waliomvuruga akiwa dimbani

    Waliokuwa viungo wa Barcelona Xavi Hernandez, Andres Iniesta, na Sergio Busquets wametajwa kama wapinzani wa kweli walipokuwa katika majukumu ya kuitumikia klabu hiyo ya Hispania, hasa kwenye...

    GERRARD ST Pict
  2. Messi hatihati kukosekana Argentina, kocha afafanua

    Nahodha na mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi huenda asiwe sehemu ya kikosi cha Argentina kitakachocheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Venezuela na Puerto Rico.

    MESSI Pict
  3. Steven Gerrard: Declan Rice na Jude Bellingham ndio viungo bora kwa sasa

    Gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard, amewataja Declan Rice wa Arsenal na Jude Bellingham wa Real Madrid kama viungo wawili bora wa Kiingereza kwa sasa katika soka la dunia.

    GERRARD Pict
  4. Kinda Real Madrid amtaja Messi mchezaji wake bora namba moja

    Nyota chipukizi wa Real Madrid, Franco Mastantuono, amemtaja Lionel Messi kama mchezaji wake bora namba moja anayemvutia.

    MASTANTUONO Pict
  5. Roberto Martinez: Ronaldo ni mfano wa kuigwa, anajua anachokifanya

    Kocha wa timu ya taifa ya Ureno, Roberto Martinez, amemwagia sifa nahodha na mshambuliaji wa kikosi chake, Cristiano Ronaldo, kuelekea mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Ireland na...

    RONALDO Pict
  6. Misri yafuzu Kombe la Dunia, Cape Verde yacheleweshwa

    Misri imejihakikishia tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Djibouti katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Larbi Zaouli...

  7. Huko mtandaoni unapata hadi safari za bure

    Moja ya majukwaa la kidijitali yanayoendesha minada ya kipekee mitandaoni limezindua bidhaa yake mpya itakayowapa washiriki nafasi ya kujishindia koponi yenye thamani ya Sh100,000 kwa matumizi ya...

    Pambana Pict
  8. Gerrard afufua bifu na El-Hadji Diouf

    NAHODHA wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard, amemrushia maneno ya kejeli aliyekuwa mchezaji mwenzake El-Hadji Diouf, akifufua tena bifu lao la muda mrefu lililoanza zaidi ya miaka 20 iliyopita.

    GERRARD Pict
  9. Zirkzee apanga kuikimbia Manchester United Januari

    MSHAMBULIAJI wa Manchester United na timu ya taifa ya Uholanzi, Joshua Zirkzee (24), huenda kaondoka katika dirisha dogo lijalo la Januari, 2026 ili kutafuta nafasi ya kucheza zaidi aweze...

    FUNUNU Pict
  10. Barcelona yaingia matatani tena

    KLABU ya Barcelona inachunguzwa kwa madai ya kukwepa kodi zinazohusiana na usajili wa winga wa Kibrazili Malcom mwaka 2018. Inadaiwa klabu hiyo ililipa euro milioni 10 kwa mawakala kwa ajili ya...

    BARCELONA Pict
Previous

Page 361 of 856

Next