Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8553 results for Mwandishi Wetu :

  1. Ronaldo awatibua mashabiki, wamshambulia mtandaoni

    Baadhi ya mashabiki waliokerwa na hatua ya Cristiano Ronaldo kukosa penalti kwenye mechi ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Ireland ya Kaskazini usiku wa kuamkia leo...

    RONALDO Pict
  2. Mashabiki Real Madrid washangaa Bellingham kutoonekana kwenye kalenda ya 2026 

    Uongozi wa Real Madrid umezua maswali kwa baadhi kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kumuondoa Jude Bellingham katika kalenda ya klabu hiyo mwaka 2026, wakihoji mustakabali wa kiungo huyo mwenye...

    REAL MADRID Pict
  3. Dili la Rashford, Barcelona kuitega Man United

    Barcelona imeanza kuitega Man United katika dili la mshambuliaji Marcus Rashford aliyetua klabuni hapo kwa mkopo wakati wa usajili wa majira ya kiangazi, baada ya kuonyesha nia ya kumsajili moja...

    RASHFORD Pict
  4. Duh! Huo msosi wa Haaland ni balaa

    WANASEMA hata uwe na shida vipi, usiache kula na hicho ndicho anachokifanya mtambo wa mabao wa Manchester City, Erling Haaland, anayejipongeza kila baada ya mechi kwa kupiga misosi ya nguvu ili...

  5. Isak, kocha Howe wamenuniana

    STRAIKA Alexander Isak amefichua hajazungumza na Kocha Eddie Howe tangu alipohama Newcastle United na kwenda kujiunga na Liverpool.

  6. Arsenal yapigwa faini kisa gemu ya Man United

    ARSENAL imekumbana na adhabu ya kupigwa faini ya Pauni 500,000 baada ya kuvunja kanuni ya Kombe la FA katika mechi yao dhidi ya Manchester United, Januari mwaka huu.

  7. Utata wa Man United kuuzwa

    IMEFICHUKA. Uvumi ulioibuliwa na Turki Alalshikh juu ya madai ya kuuzwa kwa Manchester United imeelezwa inaweza kuwa ni jambo linalohusu ujenzi wa Uwanja wa Old Trafford.

  8. Kuna swali? Lakers bila LeBron James

    LOS Angeles Lakers imejikuta kwenye wakati mgumu kuelekea mwanzo wa msimu mpya wa NBA 2025/26, baada ya kuthibitishwa kuwa nyota wa timu hiyo LeBron James hatakuwepo kwenye michezo ya awali...

  9. Cedrick Kaze akabidhiwa Kaizer Chiefs, Nabi akiaga

    Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imempa jukumu Cedrick Kaze kuinoa timu hiyo hadi mwishoni mwa msimu kufuatia uamuzi wa kuachana na Kocha wake Mkuu, Nasreddine Nabi jana.

  10. Mwigizaji wa tamthilia ya Mpali afariki dunia

    Muigizaji kwenye tamthilia ya Mpali ya nchini Zambia aitwaye Wanga Zulu maarufu kwa jina la Junza, aliyekuwa akiigiza kama mke mkubwa wa Nguzu, amefariki dunia.

Previous

Page 357 of 856

Next