Merino: Sina wasiwasi na Gyökeres, atafunga sana Nyota wa Arsenal, Mikel Merino anaamini kuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Viktor Gyökeres, atang'ara klabuni hapo ikiwa atapewa muda zaidi, licha ya kuwa hajafunga bao katika mechi tisa mfululizo...
Nottingham Forest yamtangaza Sean Dyche, kuanza na FC Porto Hatimaye Nottingham Forest imemtangaza Sean Dyche kuwa kocha mpya wa kikosi hicho, ikiwa ni siku chache baada ya kumfuta kazi Ange Postecoglou.
Arsenal imejibu ishu ya Atletico Madrid, yataja wachezaji, viongozi Arsenal imeomba radhi kwa Atletico Madrid kufuatia klabu hiyo ya Hispania kulalamika ukosefu wa huduma ya maji ya moto, baada ya kufanya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Emirates.
Man United wakali wa pira mipasi mirefu HABARI ndo hiyo. Manchester United ndiyo wafalme wa mipira mirefu kwenye Ligi Kuu England msimu huu.
Joto la El Clasico… Alonso ana jambo la kuamua, Trent, Carvajal watajwa Wakati Trent Alexander-Arnold alipoumia ghafla, ilionekana wazi huu ulikuwa wakati wa Dani Carvajal kuendelea kuonyesha ubora wake kwenye kikosi cha Real Madrid, baada ya kupona kufuatia kukaa...
Nchi nne zaomba kuandaa Kombe la Dunia Wanawake 2031 Maafisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Marekani wamethibitisha kuwasilisha kwa pamoja zabuni ya kuandaa michuano ya Kombe la Dunia Wanawake 2031 na nchi za Mexico, Costa Rica na Jamaica.
Kisa maji ya moto, Atletico Madrid yaishtaki Arsenal UEFA Atletico Madrid imekasirishwa na hali iliyoikuta katika uwanja wa Emirates na tayari imemewasilisha malalamiko rasmi kwenye Shirikisho la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) dhidi ya Arsenal, kwa...
Mashabiki, wachezaji wazichapa baada ya timu kupigwa 6-0 Mechi ya soka ya Northern Premier League Division One West nchini England, imesitishwa baada ya kutokea ugomvi kati ya mashabiki na wachezaji dakika sita kabla ya kumalizika.
Winga Real Madrid na Everton, Drenthe, apata kiharusi Winga wa zamani wa Real Madrid na Everton, Royston Drenthe, amelazwa hospitalini baada ya kupata kiharusi.