Dortmund yaiadhibu Copenhagen kwao Jobe Bellingham ametoa mchango wake wa kwanza tangu ajiunge na Borussia Dortmund baada ya kusaidia bao la ufunguzi la Felix Nmecha, ambaye alifunga mara mbili na kuisaidia klabu hiyo ya Ujerumani...
Doue ang’ara PSG ikishinda saba kwa Leverkusen Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain wametoa onyo kali baada ya kuibamiza Bayer Leverkusen mabao 2-7 na kufikisha ushindi wa tatu mfululizo katika michuano hiyo.
Lopez afunga hat trick, Rashford mbili Barca ikipiga mtu sita Fermin Lopez amefunga mabao matatu huku Marcus Rashford akiendeleza makali yake kwa kufunga mara mbili, akiifikisha jumla ya mabao manne katika mechi tatu za Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati...
Barnes, Gordon waiongoza Newcastle kuichapa Benfica ya Mourinho Harvey Barnes na Anthony Gordon wameipa Newcastle United ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Benfica inayoongozwa na Jose Mourinho katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi ikichezwa St James' Park, usiku...
Haaland afunga tena, Man City ikimaliza ukame wa ushindi ugenini Erling Haaland ameendelea na rekodi yake ya kufunga alipofumania nyavu kwa mara ya 12 mfululizo, akiisaidia Manchester City kumaliza ukame wa ushindi ugenini kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa...
Gyokeres apiga mbili, Arsenal ikiichapa Atletico 4-0 ARSENAL imefunga mabao manne ndani ya dakika 14 pekee ilipoichapa Atletico Madrid 4-0 na kuendeleza mwanzo wao mzuri katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi ikichezwa usiku wa...
Mpango wa Villarreal vs Barcelona kuchezwa Marekani wafutwa Mechi ya La Liga kati ya Villarreal na Barcelona iliyokuwa ichezwe jijini Miami imeahirishwa, huku waandaaji wa tukio hilo, Relevent, wakisema hakuna muda wa kutosha kuandaa hafla hiyo.
Barca, Real Madrid mguu sawa kwa Marc Guehi BARCELONA na Real Madrid zinafuatilia kwa karibu suala la beki wa kati wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi, 25, ambaye ameonyesha nia ya kutosaini mkataba mpya wakati ule wa...
Kocha Liverpool bado anamtetea Wirtz KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amemtetea kiungo wake ghali Florian Wirtz baada ya kushambuliwa sana kutokana na kuanza maisha yake Anfield kwa kasi hafifu.
Guardiola: Huyu Cherki anajua sana KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola akiri amekuwa akikoshwa sana na mchango unaofanywa na staa wake mpya, Rayan Cherki katika kikosi hicho cha Etihad.