Peres Jepchirchir: Kutoka kuuguza majeraha hadi kushinda medali ya dhahabu Tokyo Bingwa wa dunia wa mbio za marathoni, Peres Jepchirchir, anasema mapumziko ya miezi miwili kutokana na jeraha la mguu aliyopata Aprili 2025, yalimfanya arejee uwanjani akiwa na hamu kubwa ya...
JKT Queens yapangwa na TP Mazembe Ligi ya Mabingwa Wanawake Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake 2025, JKT Queens, imepangwa Kundi B kwenye mashindano hayo baada ya leo Jumatatu Oktoba 27, 2025 kufanyika droo ya makundi hayo...
Azam, Singida BS mikononi mwa vigogo CAF BAADA ya Azam na Singida Black Stars kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu, zina kibarua cha kukutana na vigogo.
Liverpool inavyoelekea katika rekodi mbaya za mabingwa watetezi MAISHA yanakwenda kasi sana. Baada ya msimu uliopita kutawala kwa urahisi wa kushangaza, Liverpool ilionekana kuwa tayari kutetea taji lao la Ligi Kuu England kwa nguvu zote katika msimu wa 2025/26.
Pesa imetumika kulipa makocha wa kufutwa kazi KOCHA, Ange Postecoglou alifutwa kazi Nottingham Forest baada ya muda usiozidi dakika 20 tangu kikosi hicho kilipochapwa 3-0 Chelsea.
Antonio Conte afunguka ishu ya McTominay KOCHA wa Napoli, Antonio Conte, amesema hana shida kabisa na huduma ya kiungo wake, Scott McTominay kutokana na kile anachofanya uwanjani, huku akimweka kando kwenye orodha ya wachezaji ambao...
Carragher: Liverpool? Haya ni majanga BEKI wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher amekiri klabu yake hiyo ya zamani ipo kwenye kipindi kigumu baada ya kupoteza mechi nne mfululizo Ligi Kuu England na hivyo kuachwa pointi kibao na...